pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kuna watu humu wana IQ sawa na za nungunungu. Hawezi akatuletea habari na taarifa moto moto kama hizi za mashambulizi ya ENDF dhidi ya Kenya alafu tukakosa kuitisha mrejesho baada ya masaa karibia 36. Nangoja huyu pimbi atupe updates.
Wewe huna akili tena ni Mpumbavu kuliko wapumbavu wote kupata kuwaona. Hivi kwanini wewe ni Mpumbavu kiasi hiki?.Acha upumbavu joto la jiwe, hebu soma tena kichwa cha uzi wako, kisha usome hizi pumba kwenye taarifa yako; ''Kenya hili mlilitaka wenyewe kutokana
na kiburi chenu na kujifanya wajuaji,
ni wazi kwamba KDF hawana uwezo
wa kupingana na majeshi ya Ethiopia,
ushauri wangu, kuweni wapole sana,
hata wakivuka mpaka na kuingia Kenya, msijibu mashambulizi, badala
yake tumieni njia za kidiplomasia
kutafuta suluhu.'' Swali langu linabaki pale pale. Mashambulizi ya vikosi vya kijeshi vya Ethiopia yamefikia wapi hadi sasa hivi na wamewaua wakenya wangapi kufikia sasa?
Kibwengo mkubwa wewe, naona akili zimekurudia baada ya kukurupuka na kujiabisha. [emoji1] Haya yote unayoyazungumzia nilikueleza nilipojaribu kusahihisha kauli yako kwamba Ethiopia wana mgogoro na/au vita, na eti wanataka kuivamia Kenya. Soma comment za kwanza uone kama sikukueleza kuhusu haya yote unayoyakariri sasa hivi. Bure kabisa.Wewe huna akili tena ni Mpumbavu kuliko wapumbavu wote kupata kuwaona. Hivi kwanini wewe ni Mpumbavu kiasi hiki?.
Nilianza kwa sentensi isemayo " Hili mlilitaka wenyewe", hiyo maana yake ninarejea "hilo lililoandikwa katika hiyo article niliyoipost katika hiyo link hapo juu". Je hiyo article inazungumzia majeshi ya Ethiopia kuivamia Kenya?, jibu ni kwamba "hapana".
Hiyo article inazungumzia Ethiopia kusaidia SNA kushambulia majeshi ya Jubaland, kwasababu ninajua kwamba Majeshi ya Jubaland ukimbilia Kenya yanapozidiwa, na kwasababu SNA walishavuka mpaka na kuingia Kenya kuwafuata wanajeshi wa Jubaland.
Wewe ni Mpumbavu na nimekuambia huna uwezo wa kujadiliana na mimi. Hili jambo la Kenya kupigana na Ethiopia "through proxiwar, tumekua tukilizungumza toka mwaka jana na Mwaswast na Tony254, ninajua wanafuatilia huu mjadala na kukuona kwamba wewe ni pimbi Hujui unalozungumza.Kibwengo mkubwa wewe, naona akili zimekurudia baada ya kukurupuka na kujiabisha. [emoji1] Haya yote unayoyazungumzia nilikueleza nilipojaribu kusahihisha kauli yako kwamba Ethiopia wana mgogoro na/au vita, na eti wanataka kuivamia Kenya. Soma comment za kwanza uone kama sikukueleza kuhusu haya yote unayoyakariri sasa hivi. Bure kabisa.
Japo umeandika utumbo ila una point kias franKenya ndiyo itaporomoka kabisa pia Kenya inaweza kukatwa kirahisi vipande viwili yani Mombasa kuwa nchi kamili maana hata Kenya inajaribu kuikata somalia kwa manufaa yake pia wasomali wanaweza kuikata Kenya kwa manufaa yao tena habari ya chini ya kapeti zinasema harakati za kuikata Kenya zimeanza na dalili zinaonekana ila serikali dhaifu ya Kenya imeshindwa kung'amua ,kama mnakumbuka kikundi cha ugaidi kimeanza kuua kwa kuangalia watu wa Kenya bara na Kenya pwani hii inaanza kuwapatia wafuasi kutoka bara maana serikali ya Kenya imeanza kuachia ajira za watu wa pwani kwa watu wa pwani hivyo watu wa pwani waliokuwa na chuki za ajira zao kuchukuliwa na watu wa bara wameanza kuwakubali magaidi kwa namna moja au nyingine,
Sent using Jamii Forums mobile app
Intelligence ya Tz inajua hicho kitu that why hatujawachokozaMkuu Kenya iko mbele sana ki-inteligencia kwa sababu ya uwepo wa US military base tatizo lao kuu naona ni kucheza na nchi ya kipuuzi kama Somalia ambayo hatujui inapambania nini maana Magaidi wanaishambulia Garisa na Serikali inaishambulia Garisa.
Tanzania hatujapata tu hizo chokochoko siku wakipata sababu za kuja tutaelewa somo
Vp wanajeshi wa Ethiopia wakikunguta madem zao wakae kimya pia[emoji23][emoji23][emoji23]Ushauri mzuri.
Japo umeandika utumbo ila una point kias fran
Utumbo kwa asiye na akili bali mwenye akili haya niliyo andika ni madini akili kubwa nani ukweli mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana doh. A Massive military of starving soldiers and viwete.To date, Ethiopian soldiers haven't made any forays into Jubaland apart from staying in Dolow. What a SHAME!!!