Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

Uchumi wa urusi unakua wakati ulaya watu wamepunguza milo na kula vyakula vya mbwa na paka,mfumo wa bei marekani hausemeki
Uchumi wake umekuwa kwenye makaratasi
Tunaona ripoti zinatoka vijana wanaendq vitani ili wakirudi wapate nyumba na magari
Lakini vipato vya maana hakuna mpakq wakawa waiba frypan na dishwasher hapo uk
 
Uchumi wake umekuwa kwenye makaratasi
Tunaona ripoti zinatoka vijana wanaendq vitani ili wakirudi wapate nyumba na magari
Lakini vipato vya maana hakuna mpakq wakawa waiba frypan na dishwasher hapo uk
Wanaokula vyakula vya mbwa huwaoni!?
 
Sasa kama mpk video wanachukuliwa kwa siri wakipewa uniform hapo si bomu moja tu, we ngoja watakufa kama kuku wa kideri
 
Back
Top Bottom