Majeshi ya Nchi 30 yenye nguvu Barani Africa

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Sijajua vimetumika vigezo gani. Lakini nadhani TZ ilipaswa iwe ya kwanza au angalau kwenye 3 bora.

Screenshot_2025-01-31-02-24-27-615_com.twitter.android~2.jpg
 
Hizi list zinaandaliwa na walevi yaani Naigeria anayesumbuliwa na BOKO HARAM miaka na miaka nakuwaje top 5.

Congo nayo na m23 yake bado sijajua wanaangalia vigezo gani.

Bora Tz hapo JW waliwasweka wale wajinga wa KIBITI na AMBONI😁😁😁 ILA KUTUWEKA HUKO CHINI NI UONEVU MAANA TUPO GADI NASHANGAA HUYO MLEVI ALIOANDAA HIYO LIST.Yaani sisi tunapitwa na Mozambique hii ni ZEREU huyo mlevi alieandaa hiyo list apigwe pumbavu kabisa.Mozambie hao wanaosumbuliwa na insurgents na wajinga wajinga wa FRELIMO🧐🧐🧐

Kenya hao hamna kitu wamekimbia CONGO huko amna kitu hapo hii list kaandaa mlevi mmoja tu.
 
Kwa Maoni yangu Hii list Iko sawa kabisa ..
Kwa hoja zako maanake hata US iliyopigana na wagambo wa Taliban Kwa miaka 21 ni dhaifu Kwa ti zii ambayo haiko vitani Kwa miaka 45?
Nb.
Kupigana na vikundi vya kiasi kama Boko Haram, IS, na Alshabab nk ni kazi ngumu kuliko kupigana na jeshi la taifa.wao wanaopigana ili wafe waende heaven,wengine wanaopigana kujihami wasife walinde familia.
Usiwabeze Kongo, Nigeria, na Kenya hao sio type yetu Wana uzoefu wa kivita miaka nenda rudi.
 
Unatumia vigezo gani kuipa nchi uwezo wa kijeshi? Tuanzie hapo
 
Uzoefu wa kimapigano Kwa muda mrefu ni factor namba 1.
2. Teknolojia za kisasa.drone technologies, Air defenses systems,
3. Nk
 
Back
Top Bottom