Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Wanaotoa takwimu hawaokoti kijiweni kama wewe mkuu , mambo ya jeshi yanaenda sambamba na uwezo wa kiuchumi , na uwekezaji. Wanaangalia zana za kijeshi hasa za kisasa, active soljer miongoni mwa mambo mengine. Kuna nchi kama egypt ina jet fighter zaidi ya 30 tz tunazo ngapi?Labda kigezo ni military expenditure. DRC wanachezewa na M23 halafu wawe stronger than sisi? Kenya nao hawajajithibitisha popote!