Majeshi ya Nchi 30 yenye nguvu Barani Africa

Kwa Maoni yangu Hii list Iko sawa kabisa ..
Kwa hoja zako maanake hata US iliyopigana na wagambo wa Taliban Kwa miaka 21 ni dhaifu Kwa ti zii ambayo haiko vitani Kwa miaka 45?
Nb.
Kupigana na vikundi vya kiasi kama Boko Haram, IS, na Alshabab nk ni kazi ngumu kuliko kupigana na jeshi la taifa.wao wanaopigana ili wafe waende heaven,wengine wanaopigana kujihami wasife walinde familia.
Usiwabeze Kongo, Nigeria, na Kenya hao sio type yetu Wana uzoefu wa kivita miaka nenda rudi.
Upo sahihii,Jeshi la Congo halijawahi kupoa wao ni kupigana tu mwanzo mwisho
 
Uzoefu wa kimapigano Kwa muda mrefu ni factor namba 1.
2. Teknolojia za kisasa.drone technologies, Air defenses systems,
3. Nk
Kenya imepigana na nani, hiyo ni list ya walevi. Sahv kila mtu anaweza kutengeneza chochote cha uwongo
 
Hamna kazi ngumu kama kupambana na magaidi wa waislamu, wao huwa tayari kufa ili wakawahi mabikira.
Nigeria na Kenya wamekua tested kwenye hili, JWTZ wamesumbuliwa kidogo na wanywa gongo pale Kibiti ila bado hawajakumbana na huo matiti.
Magaidi ya waislamu wa Msumbiji huingia Tanzania na kujipigia na kuondoka.
Sasa kama hawawezi kupambana hizo ranki za kijeshi wanapewaje au bado tunaishi kwenye PROPAGANDA.

Mimi nadhani mpaka list ipangwe majeshi yanaangaliwa katika kila engo sio bajet tu,maana unaweza kuwa na badget kubwa alafu wanajeshi hawana nidhamu na morale.

📌📌📌Usiwatete hao wapumbavu wa Kenya na Nigeria.Ukifeli kitu uwe radhi kukubali umefeli kutoa sababu za kipumbavu kama sijui insurgents ni wagumu kwani jeshi kazi yake ni kulima mpunga au kukata mayeno ebo!!!

Hao kenya kama alshababu imewashindwa wakubali kuwa wao bado sana kijeshi na ni FAILURE ambayo lazima iwe addressed.

Tz ilipambana na hao millitia usiwaite walevi maana hao ni wanajeshi na wamekula viapo so ukiwachukulia poa lazima wakugonge.Unapambana na magaidi na bado unadhani unapambana na vibaka wa mtaani lazima wakubake.

📌📌📌Kenya na Nigeria zikubali tu zimebakwa na MAGAIDI na hazina ubavu wala nguvu na ni majeshi madhaifu.Ndomaana yule mtoto wa Mseveni anawaona Kenya mabishoo tu😁😁😁
 
Uhuru wa maoni umeleta mengi sana. Hadi mbumbumbu dasa 1 wanachambua majeshi na kurank.
 
Hata Nigeria nashangaa wamewekwa kule juu wakati wanasumbuliwa na Bokoharamu kwa miaka mingi.
Baba kwamaana hiyo Marekani alivyofwata Hadi ki homeboy na alqaedah na kutwangwa Kuna haja ya kusema Marekani ni dhaifu kuliko tizii?
Kwahiyo Israel ilivyoshindwa kuwamaliza Hamas Kwa mwaka 1.5 Kuna haja ya kusema sie ni Bora kuliko wao?
Kwamba Us army ilivyoshindwa vita Vietnam wakakimbia kama swala wao ni dhaifu kuliko tizii?
Kwamba Ukraine inavyozidi kuisumbua Russia Kwa 3 years kwamba wao Wana nguvu kuliko Russia inayo be ranked the 2nd largest and advanced army worldwide?
Kwamba Us alivyoshindwa kufanya occupation ya Afghanistan japo Kwa nusu ya taifa Hilo ni dhaifu na sie tuna nguvu kuliko wao?
Kwamba Misri inayoshindwa kuzuia mara kadhaa mashambulizi y ISIS ni dhaifu kuliko sisi?
 
Sasa kama hawawezi kupambana hizo ranki za kijeshi wanapewaje au bado tunaishi kwenye PROPAGANDA.

Mimi nadhani mpaka list ipangwe majeshi yanaangaliwa katika kila engo sio bajet tu,maana unaweza kuwa na badget kubwa alafu wanajeshi hawana nidhamu na morale.

📌📌📌Usiwatete hao wapumbavu wa Kenya na Nigeria.Ukifeli kitu uwe radhi kukubali umefeli kutoa sababu za kipumbavu kama sijui insurgents ni wagumu kwani jeshi kazi yake ni kulima mpunga au kukata mayeno ebo!!!

Hao kenya kama alshababu imewashindwa wakubali kuwa wao bado sana kijeshi na ni FAILURE ambayo lazima iwe addressed.

Tz ilipambana na hao millitia usiwaite walevi maana hao ni wanajeshi na wamekula viapo so ukiwachukulia poa lazima wakugonge.Unapambana na magaidi na bado unadhani unapambana na vibaka wa mtaani lazima wakubake.

📌📌📌Kenya na Nigeria zikubali tu zimebakwa na MAGAIDI na hazina ubavu wala nguvu na ni majeshi madhaifu.Ndomaana yule mtoto wa Mseveni anawaona Kenya mabishoo tu😁😁😁
Na sisi Jeshi letu lingecheka na kima kule Kibiti sasa hivi huenda hali ingekuwa mbaya. Si unakumbuka hadi walifanikiwa kuwaua askari polisi wakati wakielekea kazini kule Kibiti enzi za utawala wa JK. Inasemekena wale jamaa walikuwa wanaendesha mafunzo ya kijeshi kwa wafuasi wao ndani mapori kule Selou Game Reserve. Walichakazwa vibaya sana na JWTZ hadi sasa wamefutika kabisa. Tulipe heshima Jeshi letu, wanajitahidi sana kufanya kazi kwa weledi katika medani za kivita.
 
Hizo 5 bora hapo sio level zetu kwa namna yeyote ile. Naona umekuwa brainwashed na serikali cha chama cha mapinduzi.
JW jeśhi la kisiasa tu na la kutishia raia, lilikua na nguvu kabla majenerali wazoefu na wenye misimamo hawajastaafu na pia kwa ulegevu wa Watz serikali haioni haja ya kuwekeza sawasawa zaidi ya kuwekeza uvccm na polisi
 
Wanaotoa takwimu hawaokoti kijiweni kama wewe mkuu , mambo ya jeshi yanaenda sambamba na uwezo wa kiuchumi , na uwekezaji. Wanaangalia zana za kijeshi hasa za kisasa, active soljer miongoni mwa mambo mengine. Kuna nchi kama egypt ina jet fighter zaidi ya 30 tz tunazo ngapi?
DRC wanatuzidi nini, specifically? Music talents na utajiri ulio chini ya ardhi Labda!
 
Nigeria Kila siku Boko Haram inawasumbua, Dr. Congo ndo hao 23M wanawasumbua, Kenya alishabab imewatoa jasho, Sudan ndo hao vita had watu wamehaMa nchi, Ethiopia vita haiishi wakimviz Kila Leo south Africa wanazamia, Libya sijui jeshi gan, yaani maspy palapale wapo
 
Back
Top Bottom