Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Wanaotoa takwimu hawaokoti kijiweni kama wewe mkuu , mambo ya jeshi yanaenda sambamba na uwezo wa kiuchumi , na uwekezaji. Wanaangalia zana za kijeshi hasa za kisasa, active soljer miongoni mwa mambo mengine. Kuna nchi kama egypt ina jet fighter zaidi ya 30 tz tunazo ngapi?Labda kigezo ni military expenditure. DRC wanachezewa na M23 halafu wawe stronger than sisi? Kenya nao hawajajithibitisha popote!
We jamaa ni fala sanaUzoefu wa kimapigano Kwa muda mrefu ni factor namba 1.
2. Teknolojia za kisasa.drone technologies, Air defenses systems,
3. Nk
haya mambo yapo juu ya uwezo wako wa uelewa mkuuHizi list zinaandaliwa na walevi yaani Naigeria anayesumbuliwa na BOKO HARAM miaka na miaka nakuwaje top 5.
Congo nayo na m23 yake bado sijajua wanaangalia vigezo gani.
Bora Tz hapo JW waliwasweka wale wajinga wa KIBITI na AMBONI😁😁😁 ILA KUTUWEKA HUKO CHINI NI UONEVU MAANA TUPO GADI NASHANGAA HUYO MLEVI ALIOANDAA HIYO LIST.Yaani sisi tunapitwa na Mozambique hii ni ZEREU huyo mlevi alieandaa hiyo list apigwe pumbavu kabisa.Mozambie hao wanaosumbuliwa na insurgents na wajinga wajinga wa FRELIMO🧐🧐🧐
Kenya hao hamna kitu wamekimbia CONGO huko amna kitu hapo hii list kaandaa mlevi mmoja tu.
na Israel imeshindwaje kwa hamas kama ndio vile?sasa congo kwann wanashindwa kuwapifa wanamgambo kama ndo hivi
Kwamba jeshi la mozambique ni bora kuliko la tanzania? Brainwashed,sawa.Hizo 5 bora hapo sio level zetu kwa namna yeyote ile. Naona umekuwa brainwashed na serikali cha chama cha mapinduzi.
Jibu hoja acha matusiWe jamaa ni fala sana
ajikubaliWanaotoa takwimu hawaokoti kijiweni kama wewe mkuu , mambo ya jeshi yanaenda sambamba na uwezo wa kiuchumi , na uwekezaji. Wanaangalia zana za kijeshi hasa za kisasa, active soljer miongoni mwa mambo mengine. Kuna nchi kama egypt ina jet fighter zaidi ya 30 tz tunazo ngapi?
Kama Rwanda sio naba moja takwimu batiliSijajua vimetumika vigezo gani. Lakini nadhani TZ ilipaswa iwe ya kwanza au angalau kwenye 3 bora.
View attachment 3219198
Sisi TZ tuko no; 6 duniani inatoshaSijajua vimetumika vigezo gani. Lakini nadhani TZ ilipaswa iwe ya kwanza au angalau kwenye 3 bora.
View attachment 3219198
wewe mbangaiizaji wa JF unaongea nini kwanza umekunywa chai???!!!haya mambo yapo juu ya uwezo wako wa uelewa mkuu
wewe mbangaiizaji wa JF unaongea nini kwanza umekunywa chai???!!!
Inategea na wameangalia kitu gani kwenye hayo majeshi ila ukweli utabaki palepale kwenye uwanja wa vita ndio jeshi bora uonekana sio kwa mitandao humu.Sijajua vimetumika vigezo gani. Lakini nadhani TZ ilipaswa iwe ya kwanza au angalau kwenye 3 bora.
View attachment 3219198
Mashindano ya kuwapata hao wababe yalifanyika lini na wapi?Sijajua vimetumika vigezo gani. Lakini nadhani TZ ilipaswa iwe ya kwanza au angalau kwenye 3 bora.
View attachment 3219198
📌Tafuta hela maskini wewe!NI ushauri tu nimekupa mkuu usijidhalilishe zaidi. Suala la mimi kutokunywa chai halikuhusu sana
Umaskini unao wewe bwana mdogo📌Tafuta hela maskini wewe!
Hizi list zinaandaliwa na walevi yaani Naigeria anayesumbuliwa na BOKO HARAM miaka na miaka nakuwaje top 5.
Congo nayo na m23 yake bado sijajua wanaangalia vigezo gani.
Bora Tz hapo JW waliwasweka wale wajinga wa KIBITI na AMBONI😁😁😁 ILA KUTUWEKA HUKO CHINI NI UONEVU MAANA TUPO GADI NASHANGAA HUYO MLEVI ALIOANDAA HIYO LIST.Yaani sisi tunapitwa na Mozambique hii ni ZEREU huyo mlevi alieandaa hiyo list apigwe pumbavu kabisa.Mozambie hao wanaosumbuliwa na insurgents na wajinga wajinga wa FRELIMO🧐🧐🧐
Kenya hao hamna kitu wamekimbia CONGO huko amna kitu hapo hii list kaandaa mlevi mmoja tu.
Nani anaanda hizi ranking kwa kutumia vigezo vipi. Vt vingine ni mawazo na ushabiki wa mhusika. Ubora wa jeshi la Kenya unapimwa kwa kutumia nini nchi haijapigana vita yyte. Jeshi la Kenya ni dhaifu sanaSijajua vimetumika vigezo gani. Lakini nadhani TZ ilipaswa iwe ya kwanza au angalau kwenye 3 bora.
View attachment 3219198