Majeshi ya Sudani ya Kusini yaelekea Mashariki ya Congo kulinda amani

Majeshi ya Sudani ya Kusini yaelekea Mashariki ya Congo kulinda amani

1672418839985.png
 
Majamaa ni meusi tii kama lami halafu yapo siriazi kinyama. Ni kwa vile mission yenyewe sio active war but peace making and keeping, hao M vingt-trois wangekula kichapo Cha mbwa koko
Kitendo cha wao kuwepo tu ndani ya DRC kumeonesha ushirikiano na mwamko mkubwa wa nchi members wa EAC juu ya kupatikana kwa amani ya kudumu nchini DRC.
PK ajitathmini na uungaji mkono wake kwa M23
 
Back
Top Bottom