Majeshi ya Sudani ya Kusini yaelekea Mashariki ya Congo kulinda amani

Majeshi ya Sudani ya Kusini yaelekea Mashariki ya Congo kulinda amani

Hawa wasudani kusini wanaweza fanya vizuri huko drc manake wengi walikuwa waasi /gorillas kabla na wanakwenda kupambana na waasi[emoji848]
Yes hawa jamaa wana hasira mbaya walikandamizwa na wale wa Sudan Kaskazini kwa kipindi kirefu
 
Back
Top Bottom