Majeshi ya Sudani ya Kusini yaelekea Mashariki ya Congo kulinda amani

Majeshi ya Sudani ya Kusini yaelekea Mashariki ya Congo kulinda amani

..Naona Jumuiya ya Afrika Mashariki imedhamiria amani ipatikane Congo.

..Sudani ya Kusini naye imetoa wanajeshi wake kwenda Congo kulinda amani.




Operation ghali zaidi ya UN duniani 'Monusco' haijafanikiwa japo imejitahidi mno kutuliza hali.....tuone kama EAC wataongeza jipya.
mtu chake Moronight walker zitto junior
 
Yote kwa yote THE ONLY EASY DAY WAS YESTERDAY..

"Everyone at the outpost was going to die"
 
Mbona Sudan ya Kusini wenyewe kwa wenyewe bado wanatwangana!
Ni muda kidogo umepita tangu wametulia hawana mapigano ingawa lolote linaweza kutokea. Wakimbizi, kuishi kwa mashaka ni kawaida yao tangu miaka ya 1980s uko. Hawawezi acha kufanya mengine.

Endapo wakilinda nidhamu watakuwa na mchango mzuri kwenye mission hii. Wao ndio battle hardened kuliko jeshi lolote ukanda huu ingawa mafunzo yao sijafatilia zaidi ila ninachojua sio mabaya kwa level za EAC
 
Hii fitina ya USA kumuangusha kagame imekaribia usishangae rwanda kutokea mapinduzi.

maana vikosi vizuri vipo mozambiq
ndio maana jenerali Kabarebe James kaondoka na jeneral Nziza pale hapakaliki jamaa amekonda ghafla leo nilipomuona anasherehekea mwaka mpya mapema ili akapumzike
 
Sudan ni jangwani na congo ni misitu minene mwenye uwezo wa kupigana vizuri na M-23 East Africa ni only jeshi mfu JWTZ
Sudan kusini misitu pia ipo, wana hadi mbuga za wanyama kama huku kwetu
images.jpeg-106.jpg
images.jpeg-107.jpg
veronique-465.jpg
images.jpeg-108.jpg
images.jpeg-109.jpg
images.jpeg-110.jpg
 
WengI wao ni SPLM IN OPPOSITION,Pagak ndiyo ilikuwa base yao na ni misitu na mito,ni watu wenye roho nzuri na adabu sana nje ya uwanja wa vita.
Wa south sudan wengi ukikutana nao uraiani ni watu poa, achana na hawa waliovurugwa na umagharibi, kutana na raia tu wa kawaida jamaa ni peace sana ila tu usilete ujuaji mwingi na kujifanya mjanja ukawaletea uhuni, jamaa wakikubadilikia hutasalimika
 
Back
Top Bottom