Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
..Naona Jumuiya ya Afrika Mashariki imedhamiria amani ipatikane Congo.
..Sudani ya Kusini naye imetoa wanajeshi wake kwenda Congo kulinda amani.
Askari wenyewe mbona hata Soksi hawajavaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Naona Jumuiya ya Afrika Mashariki imedhamiria amani ipatikane Congo.
..Sudani ya Kusini naye imetoa wanajeshi wake kwenda Congo kulinda amani.
wapo zaidi ya iyo idadi pia na police juu.Rwanda ana wanajeshi 1000 tu Mozambique
Congo makundi YAPO MENGI tuu, hawaendi kwa ajili ya m23Sudan ni jangwani na congo ni misitu minene mwenye uwezo wa kupigana vizuri na M-23 East Africa ni only jeshi mfu JWTZ
Makundi congo YAPO mengi si m23 tuu watapigana na mengineKitendo cha wao kuwepo tu ndani ya DRC kumeonesha ushirikiano na mwamko mkubwa wa nchi members wa EAC juu ya kupatikana kwa amani ya kudumu nchini DRC.
PK ajitathmini na uungaji mkono wake kwa M23
Askari wenyewe mbona hata Soksi hawajavaa
Hawa vijana wa Kony,,,,LRA walikua wanakichafua Uganda halafu wanakimbilia kwenye misituWatu fresh sana yaani.Hiyo picha ya tatu mbona siyo sura za wasouth Sudan zimeka ki FDLR.
Na mm nashangaaMbona Sudan ya Kusini wenyewe kwa wenyewe bado wanatwangana!
Wakiweka silaha chini Kagame atakula nini?M23 shida nini siwaweke silaha chini
Jeshi mfu,JWTZ imekufa lini?Sudan ni jangwani na congo ni misitu minene mwenye uwezo wa kupigana vizuri na M-23 East Africa ni only jeshi mfu JWTZ
M23 shida nini siwaweke silaha chini
Naelewa misitu ipo ila hao jamaa ni wazuri zaidi jangwani na (urban) misituni hawajapigana kabisaHaujui hata geografia ya ukanda wako! Haujui kama sudan kusini kuna misitu minene inayofanana na ya Congo kwani iko uelekeo mmoja, ?
Ok nimekuelewa kwaiyo sudan ya yule rais kikojozi ndio imepeleka jeshiJangwa liko Sudan Mzee; South Sudan ni misitu minene almost sawa na ile ya DRC.
Kabarebe kaondoka kaenda wap?ndio maana jenerali Kabarebe James kaondoka na jeneral Nziza pale hapakaliki jamaa amekonda ghafla leo nilipomuona anasherehekea mwaka mpya mapema ili akapumzike
Hujui kuwa JW ni mfu ?Jeshi mfu,JWTZ imekufa lini?
Neno kikojozi linahusiana vipi na huu uzi? Is that the best identity that you could use to refer to him? Acha uchokozi usio na sababu Chief.Ok nimekuelewa kwaiyo sudan ya yule rais kikojozi ndio imepeleka jeshi
kivipHujui kuwa JW ni mfu ?
Mzee anaumwa ahakupenda kabisa aibu ile pale uwanjani anaumwa kwenye mfumo wa mkojo nahisi kama sio ugonjwa fulani mbaya sana kwa wanaumeOk nimekuelewa kwaiyo sudan ya yule rais kikojozi ndio imepeleka jeshi
Basi pole yake ila aache uzembe mbona JK alitoka nduki mpaka U.S. kupata tibaMzee anaumwa ahakupenda kabisa aibu ile pale uwanjani anaumwa kwenye mfumo wa mkojo nahisi kama sio ugonjwa fulani mbaya sana kwa wanaume