Majeshi ya Urusi yaukimbia mji wa kherson.

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Wizara ya ulinzi ya urusi imesema majeshi yake yanajiondoa katika mji huo ili kupunguza madhara kwa vikosi vyake na kuokoa maisha ya raia wake.

urusi iliuchukua mji huo kutoka ukraine kupitia kura ya maoni mwezi uliopita ya kujitenga na ukraine.

ukiani haiitambui kura hiyo na imesema itatumia nguvu ya jeshi lake ili kutetea mipaka yake,

source:Rt
 
Hii habari nimeipokea kwa shangwe sana.., Ukraine wameurudisha mji wa kheson bila umwagaji mkubwa wa damu

""Passioner"" sijui ataficha wapi sura yake

Mzee wa kheson itakuwa ya Russia milele [emoji1787][emoji2][emoji28][emoji12][emoji12] [emoji16][emoji16][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Aibu aibu aibu super power wa mchongo
Anatuaibisha warusi wa ikwiriri
 
Russia wamecheza kete kama awali, wakirudi utashangaa mtavyotafutana humu baada ya kichapo kama hivi karibuni mlivyolialia [emoji3]
 
Hapo mvua ya mabomu inakuja......wameyakanyaga .......safisha mji wote anza 1 pesa ya mafuta ipo
 
Wizara ya ulinzi ya urusi imesema majeshi yake yanajiondoa katika mji huo ili kupunguza madhara kwa vikosi vyake na kuokoa maisha ya raia wake.

urusi iliuchukua mji huo kutoka ukraine kupitia kura ya maoni mwezi uliopita ya kujitenga na ukraine.

ukiani haiitambui kura hiyo na imesema itatumia nguvu ya jeshi lake ili kutetea mipaka yake,

source:Rt
Hivi kherson ziko ngapi??

Au inachukuliwa, inaludishwa, inachukuliwa, inaludishwa, inachukuliwa, inaludish...........
 
Hii habari nimeipokea kwa shangwe sana.., Ukraine wameurudisha mji wa kheson bila umwagaji mkubwa wa damu

""Passioner"" sijui ataficha wapi sura yake

Mzee wa kheson itakuwa ya Russia milele [emoji1787][emoji2][emoji28][emoji12][emoji12] [emoji16][emoji16][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawajajiondoa Kherson yote Mkuu
 
Vita inamuumiza Zele.

Ana Kesha kupigania miji yake.

Mwenzake anamuhold na kumdemilitarize polepole.

Hili liko wazi sababu Huko Moscow life goes on. But Ukraine wote wanahaha mgeni yupo ndani yao.

Siku ambazo hesabu za FSB zikihamisha mnara. Vilio vitasikika.

Russia hapigani vita kwa hofu. Just tactics.

Let’s see
 
Ficha upumbavu wako

Back
Top Bottom