crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Wizara ya ulinzi ya urusi imesema majeshi yake yanajiondoa katika mji huo ili kupunguza madhara kwa vikosi vyake na kuokoa maisha ya raia wake.
urusi iliuchukua mji huo kutoka ukraine kupitia kura ya maoni mwezi uliopita ya kujitenga na ukraine.
ukiani haiitambui kura hiyo na imesema itatumia nguvu ya jeshi lake ili kutetea mipaka yake,
source:Rt