Maji ya baraka ya (RC) vs maji ya upako ya (Mwamposa)

Maji ya baraka ya (RC) vs maji ya upako ya (Mwamposa)

Ndugu wanajamii, kuna utofauti upi wa kiimani Kati ya maji ya "baraka " na maji "ya upako"?

Je tofauti pekee ni, yale mengine kuuzwa? Au kuna tofauti zingine za ziad!
Mponyaji ni Mungu kwa neno lake tukiishaamini bila ya hata kupitia vitu au watu.

Tumwamini Mungu na si vitu au watu - hata wakiwa na vyeo au majina makubwa ya kidini.
 
Mtume Meshach wa UKWELI ministry, Amiel Katelela, Mwakasege, Mch Misholi, Mch Maghembe, Askofu Gwajima, Mch Gamanywa , nk nk.

Pia usisubiri kutajiwa, wapo wengi, Muulize Roho mtakatifu atathibitisha.
Mkuu umenifanya nipaliwe askofu gwajima?

Kila mtu aamini anavyoamini njia yetu ni moja kwenda mbinguni.
 
Hivyo uishia Duniani kule hakuna kula Wala kunywa
Sasa tutakuwa tunaishije,si tutakufa na njaa
Mtume Meshach wa UKWELI ministry, Amiel Katelela, Mwakasege, Mch Misholi, Mch Maghembe, Askofu Gwajima, Mch Gamanywa , nk nk.

Pia usisubiri kutajiwa, wapo wengi, Muulize Roho mtakatifu atathibitisha.
Huwa nasubiri siku ya mwisho nione watu watakavyoumbuka
 
Gwaji Boy nkono wa Baunsa nae ni wa kweli
Acha nabii nkuu nae awe nkweli
 
MFALME DAUDI alikuwa Nabii pia.

Nabii anapoonya na kupuuzwa, huingia kurekebisha, Maana hao ndo wamekabidhiwa Nchi.
Hiyo haipo
Uwe sehem ya mfumo badala ya kwenda Kati na kutokuwa sehemu ya mfum
Tayari ni Mmoja wa mataifa
 
Mponyaji ni Mungu kwa neno lake tukiishaamini bila ya hata kupitia vitu au watu. Tumwamini Mungu na si vitu au watu - hata wakiwa na vyeo au majina makubwa ya kidini.
Unasemaje kuhusu maji ya baraka?
 
Back
Top Bottom