Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Waeleze waelewe......kwa bulldozer maji sio lazima ununue ata ya nyumbani na mafuta ya nyumbani hujalazimishwa kununua ni kuwa na imani tuu.
kwaiyoo mkuu maji ya chimbwe yatibiwe yawe na ubora wafanyakazi walipwe mabobo yatengenezwe , usafiri umeme, label alafu upewe bure. yeye atakuwa analima wapi hizoo hela.