Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ndio ya ZamzamDuh kumbe nao wana maji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ya ZamzamDuh kumbe nao wana maji?
Kuna utofauti mkubwa sana Bwaaa shekhe.
1. Maji ya Baraka hayauzwi ili hali yale ya upako yanauzwa.
2. Maji ya Baraka sio mali ya mtu, ili hali yale ya upako ni mali ya Mwamposa.
3. Maji ya Baraka yana nguvu ya Mungu, ili hali yale ya Upako hayana nguvu ya Mungu bali binadamu na ndio Maana yanauzwa.
Kuhusu Sakramenti na vimikate vingine.
1. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni mwili kweli na damu kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo, ili hali Mikate hiyo mingine ni Mikate tu kama Mikate.
2. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu inatupa Uzima wa Milele, Wakati Mikate hiyo mingine haina uwezo huo.
3. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni Kwaajili ya Wakristo Wakatoliki, tena waliojiandaa yaani wamejitakasa kwa toba na matendo mema, ili hali Mikate hiyo mingine inaliwa na yeyote bila kujali dini yake wala hali yake Kiroho.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Naona Kuna Mama Mjamzito Amepata UchunguApostooooooo
Big up mkuu. Uko vizuri sana.Kuna utofauti mkubwa sana Bwaaa shekhe.
1. Maji ya Baraka hayauzwi ili hali yale ya upako yanauzwa.
2. Maji ya Baraka sio mali ya mtu, ili hali yale ya upako ni mali ya Mwamposa.
3. Maji ya Baraka yana nguvu ya Mungu, ili hali yale ya Upako hayana nguvu ya Mungu bali binadamu na ndio Maana yanauzwa.
Kuhusu Sakramenti na vimikate vingine.
1. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni mwili kweli na damu kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo, ili hali Mikate hiyo mingine ni Mikate tu kama Mikate.
2. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu inatupa Uzima wa Milele, Wakati Mikate hiyo mingine haina uwezo huo.
3. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni Kwaajili ya Wakristo Wakatoliki, tena waliojiandaa yaani wamejitakasa kwa toba na matendo mema, ili hali Mikate hiyo mingine inaliwa na yeyote bila kujali dini yake wala hali yake Kiroho.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Kinachoyafanya yawe feki ni kuuzwa tu?Yote ni fake, Sema ya bulldozer ni fake zaidi maana yanauzwa waziwazi.
😆Ndugu wanajamii, kuna utofauti upi wa kiimani Kati ya maji ya "baraka " na maji "ya upako"?
Je, tofauti pekee ni, yale mengine kuuzwa? Au kuna tofauti zingine za ziada?
Je, mkate wa Bwana na keki ya upako Vina tofauti gani?
Nashawishika kuamini kuwa bulldozer ana"copy" vitu upande wa "kanisa katoliki" na kuvi"modifai".
Je kuna uhusiano upi hapo juu?
Nawakaribisha wajuzi wa mambo watudadavulie!
Sijayaita feki yoyote kati ya hayo, ila shida ni imani za watu siku hizi zimekuwa za kuaminishwa na vitu rahisi zaidi kuliko wanavyofikiri wao.Yapi unayaita feki ya RC, ya Mwamposa au ya Zamzam?
Maji yetu Katoliki na hayo ya Mwamposa na Tonny Kapola hayana shida ila tatizo linakuja pale Mtu anapoacha kumwabudu Mungu anabaki na MariaNdugu wanajamii, kuna utofauti upi wa kiimani Kati ya maji ya "baraka " na maji "ya upako"?
Je, tofauti pekee ni, yale mengine kuuzwa? Au kuna tofauti zingine za ziada?
Je, mkate wa Bwana na keki ya upako Vina tofauti gani?
Nashawishika kuamini kuwa bulldozer ana"copy" vitu upande wa "kanisa katoliki" na kuvi"modifai".
Je kuna uhusiano upi hapo juu?
Nawakaribisha wajuzi wa mambo watudadavulie!
Ngoja RC waje hapa,Maji yetu Katoliki na hayo ya Mwamposa na Tonny Kapola hayana shida ila tatizo linakuja pale Mtu anapoacha kumwabudu Mungu anabaki na Maria
Maria ni mwanadamu tu na baada ya kumzaa Yesu aliendelea na masiha kawaida na bwana ake na alipata watoto wengine: Kuendelea kumuita bikra ni uongo.
Lakini walokole kama TAG nawakubali kwakuwa hawana mambo ya sanamu wala maji ya upako.
Ujue kutokana na uvivu wa watu wengi wa dunia ya sasa, ni watu wachache sana watakaoendelea kufaidika na kupiga pesa.Nimeskia Chumvi ya upako!!
Nini kimetokea?Apostooooooo
🙂🙂🙂Apostooooooo