Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

Sawasawa
 
Hatuwez baguana tunapendana kama wavuta sigara
 
Lengo la kufanya hvyo ni ku motivate wengine watafute,ndio maana uchagani kila mtu anafanya bidii ili asijechekwa kwamba Hana kitu
Ndo Mana ambaye Hana hela huwa haendi kwao Mana Hana Cha kuwavimbia wenzake so watatumwa maji ya kunawisha wenzake.
Yes wanatu motivate kwa matusi nako pia ni Aina ya lugha ya kumpatia mtu hasira.
Hakuna nouma mangi nipe hasira bana.nitukane ili nijielewe.
Baba yangu mkubwa alikuwa ni maarufu kwa kucheza ritungu Sana karibia kurya society nzima. He was very famous so now we're harvesting his seeds that he sowed that time.

Mie najua mangi wakianza kusoma miaka Ile white fathers wametua Kilimakyasharo around 1800s.
 
Mbona huku Arusha ipo mkuu?
 
Wakishumundu ni wanatania sana kwanza wanavua viatu wavuke roads.
Ukitaka kununua ndizi zote unaulizwa na muuzaji kuwa Sasa atabaki na Nini anauza.

Binafsi hii nikiwa na mamlaka kitu Cha kwanza ni kuufuta suala la makabila.
Kama saivi kagame ameitengeneza Rwanda ingawa akaweka Sana juu watu wa kwao Ila hakuna mtutsi Wala mhutu ni mnyarwanda tu.

Hatukatai wapo walio juu kipesa kielimu Ila ni kuwavurugana mpaka makabila kufika kizazi Cha tano hivi hakuna anayejua akatoka wapi.

Ubaguzi utabagua Sana mpaka kwa babu yako mtabaguana mbaki kwa mama yenu pekee.
 
Mkuu hebu acha ulongo na kutaka kuaminisha watu.

Arusha biashara ya miguu ya kuku, utumbo mpaka supu ya pweza zipo na cha ajabu hata maji ya Kilimanjaro yanaanza kuvutwa shati na kampuni nyingine.


Nakupa mfano hapo Unguja huwezi kukuta dukani hizo kitu sijui Kilimanjaro sababu kuna kampuni zimekita mizizi, aya kule mwanza ulikuwa usemi lolote kuhusu Kilimanjaro water, sasa hivi kuna jamaa wa jambo uliwaambii kitu wasukuma na jamukaya😁!.

Hata arusha ni muda tu utasema ndiyo mana kuna msema hakuna lisilo na mwisho.
 
Maji ya Kilimanjaro yalianza kuchakachuliwa Tangu mzee Mengi alipofariki Yalianza kuwa na chumvi balaa! Kwa kweli na ukweli toka Moyoni Hill water wana maji Matamu sana!!Napenda hill water kuliko maji yoyote yale.
Hill yupo vizuri mi nikinywa uhai ntaishia kukojoa tu na kuwa thirsty again ila hill yanakaa mwilini na ni less salty kidogo na afya. Maji yanatakiwa yawe mepesi
 
Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc.

Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
Uhai 1.5L 500 tu
 
Hill yupo vizuri mi nikinywa uhai ntaishia kukojoa tu na kuwa thirsty again ila hill yanakaa mwilini na ni less salty kidogo na afya. Maji yanatakiwa yawe mepesi

Eti yanakaa mwilini, NYIEEE..!!
 
Mkuu research yako feki,kanda ya ziwa anatawala jambo,hivyo kusema Tanzania nzima anatawala afya ni uongo
Afya ndio inauzika sana nenda kwa wauza maji wenye maduka wakwambie mimi nauza maji afya ndio inayoongoza Tanzania sio Dar tu
 
Sasa Bado ndio yaliyoko hotel kubwa kubwa?
Kuna kamgahawa hapo City Mall wanauza Maji ya Kilimanjaro 1ltr Tsh: 3,000/=
 
Dew drop je?
Dew drop Kwa dar hayana soko, ni maji ambayo nilikuwa nayapenda Sana kutumia na yanauzika Sana mikoa ya katavi,Rukwa,tabora na niliacha yameanza kuingia Morogoro miaka ya 2016 sijui Kwa sasa itakuaje

Ila nilipohamia dar hayo maji halikuwa hakuna kabisa na ata ukiyapata unayapata Kwa tabu sana, mwaka huu ndio naona wameanza kuyasambaza kwenye store za wauza maji na yanayoonekana ni Yale ya Lita 12, Ila hayo ni miongoni mwa maji Bora Sana
 
Huijui Arusha Vizuri Mkuu!! Biashara ya miguu ya kuku na utumbo ipo sana, Ingia Ngarenaro oysterbay barabarani kabisa utaikuta, sogea matejoo ktkt pale utaikuta Tena Wananogesha na vindizi vya kukaanga.
Ipo lakini sio kwa kiasi kile ilivo kwa dar es salaam yaani Dar kila leo na kila utakacho ni pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…