SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
- Thread starter
-
- #121
Sasa hivi ni yote nimachungu halafu nawaambia wanasema nawivu nataka kuuza maji yangu natafuta wateja kwa kuwaharibiaMaji ya Kilimanjaro yanauzwa Dar na yanayouzwa Moshi/Arusha yana tofauti kubwa
Maji ya Kilimanjaro hapa Dar hayana Ladha
Yanapoteza ubora siku hadi siku na wahusika hata hawajali.Sasa hivi ni yote nimachungu halafu nawaambia wanasema nawivu nataka kuuza maji yangu natafuta wateja kwa kuwaharibia
Basi wamechakachuwaHill pia yana chumvi ni ya kisima
Angalia usije kuwa una mimba changa ndio maana unatapika hovyo.Mwanzo nilizani ni kitu ingine ila kufanya uchunguzi ni maji yenu yananuka na yanaleta ladha chungu na siku hizi natapika
kwani haya maji bado yanazalishwa?Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.
Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?
Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.
PLease. Punguzeni madawa tusipate magonjwa
Asanteni
Kama mimba yake kwa nini utapike wwe na si yeye!!?Basi mimba ni yako
Kweli kabisa juzi nimeenda home kuwasalimu wazee Katesh nimekunywa tu maji y akilimanjaro yana chumvi Kabisa yaani wameharibu mnooo afadhali ya mlima Hanang yasiyopimwa na wataalamWatu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.
Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?
Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.
PLease. Punguzeni madawa tusipate magonjwa
Asanteni
Yale mazuri yaliondoka na Mzee MengiWatu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.
Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?
Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.
PLease. Punguzeni madawa tusipate magonjwa
Asanteni
kuna yale maji ya dew drop nilikua nayaona ya bei ghali sana navile vichupa wamedesign nikawa hata siyasogelei nikikumbuka nacheka sana
Siyo kweli... Kilimanjaro Bado ni maji ya viwango. Wengine wakasomeYale mazuri yaliondoka na Mzee Mengi
Labda viwango vya maandishi na chupa lakini ladha yake hovyo kabisa siyo kama yale ya zamaniSiyo kweli... Kilimanjaro Bado ni maji ya viwango. Wengine wakasome
Wanashindwa hata GSM walioanza juzi....lile chupa la lita 1.5 ukilimaliza wewe mwanaume .....hata mchunga unautafuna bila shida.Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.
Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?
Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.
PLease. Punguzeni madawa tusipate magonjwa
Asanteni
I did not expect such language from a PhD holder.Rubbish, umepita mitaani?
Kuna watu wanapenda kujitesa tuMbona maji yapo ya kila aina.
nikajia yatakua ghali sanaWe chupa ya maji imedizainiwa kama Dripu, Lazima uogope