sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
ya chupa unayachemsha tena ?Ya chupa ni salama ila itategemea unayoyachemsha yametoka chanzo gani,
Hapana nimemaanisha ayo maji B (dawasa)ya chupa unayachemsha tena ?
Sasa umegusanisha na mdomo wako wenye mate bacteria wakatumbukia ndani ya maji chupani so vile vijidudu vinazaliana kuliko speed uijuayo na vingine vidadedi humo ndani ya maji so vinaozeana ndio harufu uikutayo na uchungu unaouona. Kkama wataka yawe poa maji ya chupa fungua kisha mimina kwenye chombo kingine unywe ile chupa iwe salama kutokana na bacteria wa kwenye mdomo wako.Me naona yakuchemsha, haya ya chupa ukinywa usiku halafu yabaki asbh ukiyanywa yanakuwa machungu hata sijui kwa nini.
Vipi kama ni kwenye familia ya watu say 6?? Mnanunua kila siku? Tatizo lililopo mfano maji ya bomba Morogoro kuna wakati ukifungua ni tope tupu so ni hatari sana kuyanywa bila kuchemsha. Miaka ya nyuma maji ya bomba yalikuwa well treated kiasi kwamba ulikuwa unaweza kukinga na kunywa moja kwa moja toka bombani..Ya kuchemsha yana ukakasi mimi binafsi nikichukua lile chupa kubwa la Afya kwa jero najikuta mwamba.
Una undugu na Jesca Brown maana kiingereza kingi?Maji ya chupa kunywa mara moja moja hasa huku kwetu sehemu za joto. Yana kemikali nyingi na microplastics ambazo ndiyo kwanza wanasayansi wanajifunza madhara yake. Chuja na chemsha maji ya kunywa hasa haya ya kutoka visimani utakuwa unakunywa maji safi na salama sana!
View attachment 2346936
View attachment 2346937
Study: 93% of Bottled Water Samples Contains Tiny Chunks of Plastic
News flash. Bottled water is nasty.draxe.com
Maji yana mambo mengi sana na ukitaka kuyajua maji issues zake chukua vipimo. Maji ya Bomba yana almost kila takataka, kuna Mavi, Chumvi, udongo, kutu, chuma, sumu, mikojo, acid, backeria wazuri na wabaya ukitaka kuchunguza unaweza toka nduki. So kunywa yeyote tu sababu uwezo wetu ni mdogo muhimu ule vizuri uwe na afya kazi za figo, maini vifanye kazi vizuri kusafisha sumu na takataka mwilini.
Pia mwili pia unahitaji bacteria wazuri na wabaya ili kulindana kutokana na zamu za ulinzi wa mwili... ukinywa maji masafi sana nayo ni shida pia.
Maji ya chupa na dawasa mnayokunywa tizama picha down. baada ya kupimwa tena maji ya chupa ni hatari zaidi yana particals pia za plastic na unashauriwa usirudia kutumia chupa au chomba chepesi cha plastics sababu utakuwa unakunywa na kula chembe chembe plastic. Wale mnywao juice ziwekwazo kwenye chupa za maji be careful
View attachment 2346939
Mkuu chupa za plastic zina quality zake ila hizi zinazotumiwa na wauza maji ni for one time use only... maana baadae ni disaster tupu ikiwepo cancer na sumu tu mwilini kujipatia.Kwaiyo chief wangu, chupa ya maji safi nayotumia kuwekea maji ya kuchemsha na kisha kuyanywa kutumia chupa hiyo ni kosa? Maana kila siku natumia chupa hiyo iyo.
Mkuu chupa za plastic zina quality zake ila hizi zinazotumiwa na wauza maji ni for one time use only... maana baadae ni disaster tupu ikiwepo cancer na sumu tu mwilini kujipatia.