Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na sufuria?

Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na sufuria?

Whiskey,. Konyagi, kveve ni salama zaidi hamna wadudu mule, ewe mwananchi linda afya yako😂
 
Mimi hata ya mferejini nakunywa na siumwi kitu

Ya mfereji inategemea na mazingira yenyewe, sio bongo. Nenda ukapime Mrs lissu.

Kipindi cha corona walikuja baadhi ya viumbe humu kujisifu corona inadunda kwa mweusi, mbona ilikua inatafuna kama haina akiri, huku nilipo imeondoa sana wachagga.
 
Hata UTI sina mkuu sembuse typhoid... i mean ikitokea mazngira hayaruhusu kupata maji safi nakunywaga yoyote tu
 
Kwangu mimi naona ya kuchemsha ikiwa yataandaliwa na kuhifadhiwa vizuri ni salama zaidi kuliko ya chupa ambayo purification ama tuseme treatment yake inahusisha mambo mengi kitu ambacho naona sio salama sana.

N.B mmewangu hata umdanganyeje ye anakunywa ya chupa tu
[emoji16] Kumbe wewe ni mwanamke.
 
Maj ya chupa suyo mazr kwa undani wake make zile chupa huwa zinawah kuharbika hivyo kupelekea maji kuharbika pia mbaya zaidi wabongo hatuna ile tabia ya kuangalia tarh za mwsho wa matmizi ni kubugia tu tukiamin ya chupa yako salama n bora kchemsha tu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom