Maji ya kujaza Bwawa la Nyerere yatatoka wapi?

Naona team makamba mkiendelea kutuona watanzania wote kama ni wajinga kwa miaka yote tangia UHURU mpaka leo.

Kila siku Makamba anajiwekea uhalali wa mazingira ya kutupiga na miradi ingine ya kina Symbion! Au Richmond tena!
 
Vema kujua jiografia ya vyanzo vya Rufiji R. Nadhani kuna Mto Luhombero. Great Rusha na Kilombero bado itamwaga JNHP. Hayo mabwawa ni bufer au feeder / emptiers kwa JNHP dam. Tuekimishabe

Naona team makamba mkiendelea kutuona watanzania wote kama ni wajinga kwa miaka yote tangia UHURU mpaka leo.

Kila siku Makamba anajiwekea uhalali wa mazingira ya kutupiga na miradi ingine ya kina Symbion! Au Richmond tena!
 
Kwa mabadiliko haya ya Tania nchi, Je? Bwawa la Nyerere huko Selous litajaa maji kweli, alafu baada ya muda gani?.

Mwenye data za kitaalam atutoe wasiwa isijekuwa tunafanya politik huku hela inaenda na upepo.

Vinginevyo tujiimarishe kwenye gesi na makaa ya mawe pamoja na renewable energies bila kujali kelele za COP26.

Tujixoeze kuwa wakweli hata kama tunaona ukweli haupendezi.
 
Wanga wengi wachawi kibao
Sasa sijui watu wanalichuria sana hili bwawa
 
Kwa mabadiliko haya ya Tania nchi, Je? Bwawa la Nyerere huko Selous litajaa maji kweli, alafu baada ya muda gani?.

Mwenye data za kitaalam atutoe wasiwa isijekuwa tunafanya politik huku hela inaenda na upepo.

Vinginevyo tujiimarishe kwenye gesi na makaa ya mawe pamoja na renewable energies bila kujali kelele za COP26.

Tujixoeze kuwa wakweli hata kama tunaona ukweli haupendezi.
ya kunye-shewa na mvua
 
Bwawa lazima likamilike
 
Litajaa vzr tu..hata usiwe na hofu..wasiwasi wangu je ukuta ni imara je kweli umeme utadhlishwa hizo megawat 1500??

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwani ni lazima lijae ? Lisipojaa tutatumia njia mbadala kama mgao wa umeme ili utoshe watu wote
 
Back
Top Bottom