The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kwa mvua hizi za kuunga unga kwa kamba huenda likajaa kwa mwaka mmja badala ya miezi 6 inayotakiwa..Kwa mabadiliko haya ya Tania nchi, Je? Bwawa la Nyerere huko Selous litajaa maji kweli, alafu baada ya muda gani?.
Mwenye data za kitaalam atutoe wasiwa isijekuwa tunafanya politik huku hela inaenda na upepo.
Vinginevyo tujiimarishe kwenye gesi na makaa ya mawe pamoja na renewable energies bila kujali kelele za COP26.
Tujixoeze kuwa wakweli hata kama tunaona ukweli haupendezi.
Kwanini lisijae wakati sahv kuna mvua
Haya leteni kizingizio kingine wazaa wa mipango
Ova
Ndio litajaa but kwa mda gani? Huo MTO kadiri siku zinavyoenda maji hupungua na sio kuongezekaLitajaa bila ya wasiwasi nijuavyo Rufiji sio Mto mdogo.
Wapi zinakopiga usiku kucha? Mvua Ni za kuunga unga na Kama unadhani zinapiga usiku kucha Lima bila hesabu afu uje hapa mwezi wa 4..Watu wa dili wanaumbuka mvua zinapiga usiku kucha
MW 2100 mkuu! Kama Mtera iliyojengwa mwaka 1986 inauwezo wa kuzalisha MW 80 miezi 7 atakama mvua haijanyesha ndiyo Nyerere Dam lishindwe kuzalisha MW 2100 mwaka mzima atakama mvua hazijanyesha!Litajaa vzr tu..hata usiwe na hofu..wasiwasi wangu je ukuta ni imara je kweli umeme utadhlishwa hizo megawat 1500??
#MaendeleoHayanaChama
Kwahiyo unataka na mimi nilichurie Taifa letu? hunijui mimi mimi huwa sipigi below the belt?
Wapi zinakopiga usiku kucha? Mvua Ni za kuunga unga na Kama unadhani zinapiga usiku kucha Lima bila hesabu afu uje hapa mwezi wa 4..
Mpunga tuu hatuna uhakika Kama tutaivisha kwa mabonde yetu yanayoyegemea mvua
Swala sio mvua kuanza Bali Ni mvua za kiwango gani?Mvua zimeanza, litajaa Rufiji sio mto mawe
Topic ni Bwawa la Nyerere kinajitegemea mto Rufiji.Swala sio mvua kuanza Bali Ni mvua za kiwango gani?
Kama zimeanza mbona Ruvu haijai ili Kuondoa changamoto ya maji Dar?