Hasa kwa wachimba hawa wadogo wadogo plus wachina hawa ndo awajali kabisa kuhusu afya ya mtu mweusi.Chemicals toka kwenye migodi ya madini kutiritika kwenye mito na mabwawa ndio chanzo kikuu cha saratani kanda ya ziwa
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Aisee ???!!! Kwa mtindo huo.... Dah! hujaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Yaani ninamaanisha tumia Akili zako zote hadi uone basi umeshindwa ndio uanze kuingia mambo ya Kiroho.Ninao SPIRITUAL, so ukiutaka nitakupa, kama ambavyo UCHAWI, upo lakini hauthibitiki mahakamani.
Akili za kibinadamu Zina mipaka.
Sijui kama nimekujibu sawasawa.
Nafikiri hii ndo hoja nzito yenye logic. Serikali muache siasa kwenye maisha ya watu.
Ila ili swala pia la maji ya maiti kuhifadhia samaki ndo nimelijua leo, hakika limenivuruga, ingekuwa ni sheria yangu wote hawa wanastaili kunyongwa tu, huwezi mlisha binadamu mwenzako vitu vya hovyo kisa upate faida.
KMadawa ya maiti yananuka kisenge yakiwekwa kwenye fish lazima ujue tu
kwaiyo mheshimiwa alielisemea hili alikurupuka hakufanya utafiti wa kina, manake hadi mtu kusema kuna hamsini ya ukweli, labda tuseme wanachanganya na vitu vingine kuondoa harufu.Madawa ya maiti yananuka kisenge yakiwekwa kwenye fish lazima ujue tu
Wanakomeshwa na nani? Mbona unataka kupenyeza hoja za kisiasa tena kwenye uzi huu wenye mustakabali wa Afya zetu sote?Sgang wanakomeshwa. Hawajali kuwa samaki Victoria wanaleta foreign currency Kwa kiasi kikubwa ktk Nchi?
Yaweza kuwa boss ila labda pia hajafanya tafiti ni hypothesis zake tuK
kwaiyo mheshimiwa alielisemea hili alikurupuka hakufanya utafiti wa kina, manake hadi mtu kusema kuna hamsini ya ukweli, labda tuseme wanachanganya na vitu vingine kuondoa harufu.
Mawazo yako Mkuu
PropagationSalaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa?
Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya Ziwa ni watu wanaotumia maji ya kuoshea maiti kuhifadhia samaki.
Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.
Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.
Asante.
---
View attachment 2356409
Picha: Sehemu ya gazeti iliyoandika habari hii
Baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Phillip Mpango amesema ongezeko kubwa la ugonjwa wa saratani katika mikoa ya kanda ya ziwa unatokana na baadhi ya watu kutumia maji ya yanayotumika kuoshea maiti pamoja na dawa aina ya Cloroform inayotumika kuhifadhi samaki.
DK. Mpango alizungumza hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la wagonjwa wa saratani katika huspitali ya rufani ya kanda Bugando jijini Mwanza, jengo ambalo limejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 5.6.
Baada ya kauli hiyo, inadaiwa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza, Jana jioni ilianza kugawa fedha kwa waandishi wa habari kuzuia stori hiyo isitoke kwenye vyombo vya habari.
Taarifa kutoka ndani ya ofisi ya mkuu wa mkoa zinadai, fedha hizo zilikuwa zikitolewa na Katibu wa mkuu wa mkoa, bwana Matia Levi.
Inaelezwa zaidi ya waandishi 20 walipokea mshiko huo ili habari hiyo isiandikwe, lakini waandishi walipokea na kutoa habari hiyo.
Hata hivyo Leo mchana, Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza kitazungumza na vyombo vya habari kuhusu taarifa hiyo na inaelezwa wamesikitishwa na kauli ya Makamu wa Rais.
Sato unaowala ukiwa nje na Mwanza wako preserved vipiMwanza sili tena samaki zenu [emoji38][emoji1787]
Yanahifadhiwa wapi? Sana sana yanamwaga chooni ili wasiyachote wachawi kwa mambo ya kishirikina.Maiti za waislamu zinapooshwa maji yake huhifadhiwa.
Naheshimu mawazo Yako.Aisee ???!!! Kwa mtindo huo.... Dah! hujaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Yaani ninamaanisha tumia Akili zako zote hadi uone basi umeshindwa ndio uanze kuingia mambo ya Kiroho.
Ni ukweli usiopingika kwamba akili za binadamu zina mipaka na ni vyema na busara kufika kwanza kwenye hiyo mipaka ndipo sasa uanze kujiongeza. (Samahani lakini kama nimekukwaza)
Yah!!! Hata mimi kama kuamini ningeamini hivyo ni swala la ushirikina,Labda hayo maji yatumike kishirikina, lakini sidhani yana kitu chochote cha kuweza kusaidia samaki wasiharibike haraka maana ni maji tu kama maji mengine.......tofauti ni kwamba yametumika kuoshea maiti. Ni sawasawa na mtu akwambie maji uliyooga yakabaki unaweza kuyatumia kuhifadhia samaki na yanaweza kusababisha kansa. Tatizo ngozi nyeusi tunapenda speculations tu na story za vijiweni ambazo hazina msingi wowote wa kisayansi.
Ni utafiti wa uongo.Hhahaha.....wajuba wanamwingiza Vice President chaka, eti maji ya kuoshea maiti......seriously!!??
Tuwekane sawa hapa, apple 🍎 zinatuhumiwa kuhifaziwa kwa "dawa ya kuhifazia maiti" je na hayo maji kazi yake ni ipi hasa? Kuhifazi au ni "shirika " mpango shirikishi wa kuvuta wateja?Sawa vegetarian, sikutishi. Omba tu na Kila kiti kitakuwa sawa.
Nmekumbuka kiti, Mahindi usinunue unga, nenda nunua Mahindi halafu yaoshe mwenyewe ndo usage unga, Kuna dawa ya kuzuia wadudu kubungua pia husababisha saratani.
Ndugu vegetarian, hujiulizi APPLE linatoka south Afrika linakaa container zaidi ya mwezi Bado unalikuta fresh???
Hapa ni ishu za kishirikina hasa mvuto.. Hayo maji lets say lita moja yatafanyiwa manuizi na kuchanganywa na madawa mengine kisha po ndio yataenda kutumika na hicho kiasi kinaweza kuhudumia zaidi ya hata tani moja kwakuwa yanatumika kidogo Sana kwa kila mzigoLabda hayo maji yatumike kishirikina, lakini sidhani yana kitu chochote cha kuweza kusaidia samaki wasiharibike haraka maana ni maji tu kama maji mengine.......tofauti ni kwamba yametumika kuoshea maiti. Ni sawasawa na mtu akwambie maji uliyooga yakabaki unaweza kuyatumia kuhifadhia samaki na yanaweza kusababisha kansa. Tatizo ngozi nyeusi tunapenda speculations tu na story za vijiweni ambazo hazina msingi wowote wa kisayansi.
Kuna upotoshaji mkubwa sana umefanyika hapo, hayo maji yenyewe kuyapata ni shughuli hasa na ukifanikiwa huwezi pata ndoo nzimaSalaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa?
Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya Ziwa ni watu wanaotumia maji ya kuoshea maiti kuhifadhia samaki.
Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.
Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.
Asante.
---
View attachment 2356409
Picha: Sehemu ya gazeti iliyoandika habari hii
Baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Phillip Mpango amesema ongezeko kubwa la ugonjwa wa saratani katika mikoa ya kanda ya ziwa unatokana na baadhi ya watu kutumia maji ya yanayotumika kuoshea maiti pamoja na dawa aina ya Cloroform inayotumika kuhifadhi samaki.
DK. Mpango alizungumza hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la wagonjwa wa saratani katika huspitali ya rufani ya kanda Bugando jijini Mwanza, jengo ambalo limejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 5.6.
Baada ya kauli hiyo, inadaiwa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza, Jana jioni ilianza kugawa fedha kwa waandishi wa habari kuzuia stori hiyo isitoke kwenye vyombo vya habari.
Taarifa kutoka ndani ya ofisi ya mkuu wa mkoa zinadai, fedha hizo zilikuwa zikitolewa na Katibu wa mkuu wa mkoa, bwana Matia Levi.
Inaelezwa zaidi ya waandishi 20 walipokea mshiko huo ili habari hiyo isiandikwe, lakini waandishi walipokea na kutoa habari hiyo.
Hata hivyo Leo mchana, Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza kitazungumza na vyombo vya habari kuhusu taarifa hiyo na inaelezwa wamesikitishwa na kauli ya Makamu wa Rais.
Tatizo linakuja pale mtu anapoyahusisha na saratani kuongezeka kanda ya ziwa, hii inakuwa sawa na story ya mtu aliyeiokota kijiweni. Tukimuuliza ni vitu gani au kemikali gani alizobainisha kwenye hayo maji na namna yanavyoweza kusababisha saratani hawezi jibu...Hapa ni ishu za kishirikina hasa mvuto.. Hayo maji lets say lita moja yatafanyiwa manuizi na kuchanganywa na madawa mengine kisha po ndio yataenda kutumika na hicho kiasi kinaweza kuhudumia zaidi ya hata tani moja kwakuwa yanatumika kidogo Sana kwa kila mzigo
Haha hivyo hili ni jambo geni kuyatumia kama mvuto kwakuwa kwenye kaliba ya uchawi haya maji ni kitu mfu na huwa yanatumika kuharibu na kufisha na si kutengeneza
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Amekurupuka period!Tatizo linakuja pale mtu anapoyahusisha na saratani kuongezeka kanda ya ziwa, hii inakuwa sawa na story ya mtu aliyeiokota kijiweni. Tukimuuliza ni vitu gani au kemikali gani alizobainisha kwenye hayo maji na namna yanavyoweza kusababisha saratani hawezi jibu...