OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Hilo nalo ni neno au ni hoja yenye mashiko. Tena ikumbukwe samaki anakula pia vitu vingine ambavyo huenda navyo vimeshachafuliwa na vitu vinavyoweza kusababisha saratani.Hizo samaki unazo ziona ferry pale au soko la ilogonzara kwenye firiji zina subiria wateja wa Dar es salam wafungiwe kwenye ndoa wa ondoke na basi au na ndege watu wa mwanza wengi hawawezi kutumia pesa yao kununua samaki sato/sangala aliohifadhiwa kwenye firiji kwa sh 25k au 30k
wakati kuna visoko vya samaki fresh mitaani jilani na makazi yao kwa sh 2k hadi 5k kwa hao samaki wakubwa ni kwa wageni wasio jua samaki wa ziwa vic kwahiyo hiyo salatani ingetokea kwingine sio mwz tena.
Huku kwetu umasaini tunawapata pia samaki esp.sangara na sato kutoka Mwanza. Kwa hiyo na sisi pia tuko kwenye risky population.
Utafiti wa kina unahitajika.