Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijajifanya msomi uchwara, hizo ni fikra zako kama ulivyo kiasili.Acha kujifanya msomi uchwara wewe.
Serikali yako inawalisha watu sumu za migodini halafu wanasingizia maiti.
Mkuu, naomba nikunukuu: "Hawa watu wanajaribu kupotosha kiini cha saratani kuwa juu huko Mwanza sijui kwa maslahi ya nani. Wafanye utafiti wenye mashiko, tatizo la saratani kuwa juu kanda ya ziwa ni kutokana na kemikali za migodini zinazoelekezwa kwenye vyanzo vya maji ikiwemo mito na kuishia ziwani."This is a very cheap argument, maji ya kuoshea maiti yana uhusiano gani na kutokea saratani.......do you have any mechanism behind.Hawa watu wanajaribu kupotosha kiini cha saratani kuwa juu huko Mwanza sijui kwa maslahi ya nani. Wafanye utafiti wenye mashiko, tatizo la saratani kuwa juu kanda ya ziwa ni kutokana na kemikali za migodini zinazoelekezwa kwenye vyanzo vya maji ikiwemo mito na kuishia ziwani. Haya ndo yaleyale ya tume ya Manyere kwamba samaki wa mto Mara walikufa kutokana na kuzidiwa na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Pathetic!!
Labda tuseme unamaanisha kemikali inayotumika kuhifadhi maiti, mfano formalin......hivi inaingia akilini utumie formalin kwenye samaki na isilete usumbufu kwa watu wanaohusika na wateja kwa kupiga chafya au kuwashwa machoni? Hizo kemikali are very pungent ukiifungua kidogo tu hapawezi kukalika.
Kama swala ni saratani inasabbishwa na hivyo vitu kutumika kuhifadhia samaki, logic inaonyesha kwamba case za saratani zingekuwa nyingi mikoa ya mbali na Mwanza maana ndo watatumia zaidi samaki waliohifadhiwa kuliko Mwanza ambako tutategemea watu wengi wanatumia samaki fresh ambao hawajahifadjiwa na kitu chochote.
To some extent inawezekana ni kweli, Binafsi niliwahi kusikia kwa jamaa yangu ambaye kaka yake anafanya kazi mortuary kwamba moja ya vitu vinavyowaingizia kipato ni maji ya maiti, I was little shocked, na nikapuuzia.Story za vijiweni zinamsumbua
Kuna kitu nimeokota hapa, kimenitesa mdaJabali la kisiasa linalojaza mikutano BILA malori ya CHAMA na serikali limewashika pabaya!!!
Huyo Ndio FDR hata wafanyaje!!
Tunakazia HIVI;-
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba Mpya"
Tatizo ni chemicals za mining kuingia kwenye water system! Samaki anaifadhiwa asioze ,akiwekewa hajo maji ayana chemical ya kuua bacteriaSalaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa?
Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya Ziwa ni watu wanaotumia maji ya kuoshea maiti kuhifadhia samaki.
Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.
Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.
Asante.
Lakini yakisemwa na wakubwa usipuuze labda wana taarifa.This is a very cheap argument, maji ya kuoshea maiti yana uhusiano gani na kutokea saratani.......do you have any mechanism behind...
Tuachane na samaki wa Mwanza tu
Ni Kweli bt ni hiari Yako kuamini, unalipia pesa ya kilo ya nyama bt unapewa ya binadamu, mambo hayo ni ktk Ulimwengu wa Roho wa Giza .Nyama za watu ??? !!
Ndio maana mimi nilishaamua kuwa vegetarian !! Maharagwe kwa sana and the like !Ni Kweli bt ni hiari Yako kuamini, unalipia pesa ya kilo ya nyama bt unapewa ya binadamu, mambo hayo ni ktk Ulimwengu wa Roho wa Giza...
Naona na wewe unazidi kuniset ili niendelee kujaa aiseeWamekuset umejaa, tatizo ni kubwa kuliko unavyofikiri.
Mfanya biashara yeyote wa samaki au butcher duniani kote anaenda Kwa mganga hutumia maji hayo,...
Kwakuwa yanatoka kwenye hospitali za serilali waanze kudhibiti huko.Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa?
Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya Ziwa ni watu wanaotumia maji ya kuoshea maiti kuhifadhia samaki.
Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.
Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.
Asante.
Saratani nyingi za kanda ya ziwa ni shauri ya migodi! Waziri mkuu anaingizwa chaka mchana kweupe!!Sasa mkuu kama wanatumia formalin kuhifadhi samaki, kwa nini tatizo lisiwe kubwa huku Dar na mikoa mingine iliyo mbali na kanda ya ziwa ambako ndo tunategemea watumie samaki waliohifadhiwa?