atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Na yy kwa akili zake kama makamu wa rais anasikiliza story za vijiweni,kazi kweli kweliWatu wanaenda kumpa makamu wa rais story za kwenye vijiwe vya kahawa, bongo ni shida sana......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yy kwa akili zake kama makamu wa rais anasikiliza story za vijiweni,kazi kweli kweliWatu wanaenda kumpa makamu wa rais story za kwenye vijiwe vya kahawa, bongo ni shida sana......
Samaki anayenunuliwa fresh kwa ajili ya kwenda kuliwa, unamwekea dawa ya kuhifadhi ili iweje........bei ya hao samaki ni kiasi gani hadi ugharamike kununua kemikali inayouzwa pesa nyingi na ambayo huwezi kuipata kirahisi.Unafahamu mazingira ambayo samaki kanda ya ziwa huwa wanauzwa? Sijaona samaki wakiuzwa sehemu iliyofungwa, labda kwenye viwanda vya samaki. Maeneo yote samaki huuzwa maeneo ya wazi, na mara nyingi ni kwenye fukwe za ziwa.
Zebaki migodini ndo Chanzo.Ukweli ni kwamba:
1) japo samaki wa kanda ya ziwa wanasafirishwa kwenda mikoa mingine lakini siyo kwa kiasi kikubwa. Na kuna watu katika mikoa mingine hawajawahi hata kuonja samaki wa kanda ya ziwa.
2) Zaidi ya 90% ya samaki wanaouzwa kwenye maeneo mbalimbali ya miji ya kanda ya ziwa huwa wamehifadhiwa kwenye maboksi ya barafu, na huwa kuna taarifa kuwa barafu hizo huwa zinatoka kwenye mashine zilizopo hospitalini (sina uhakika kama ni kweli).
3) si kweli kuwa wakazi wa mikoa hii hawatumii samaki waliohifadhiwa kwenye barafu au kuwekwa dawa nyingine ili samaki wasiharibike. Wafanyabiashara hawawezi kuwauza samaki wote wakamalizika kwa siku moja.
4) nenda hata hapo ferry jirani na posta, Mwanza, kwa wauza samaki. Huwezi kuona nzi yeyote kwenye samaki, ni kwa nini? Wakati samaki ana harufu kali ya kuvuta samaki kuliko nyama ya ng'ombe, mbuzi au kuku.
5) mamlaka za serikali zifanye kazi. Ziharamishe njia zozote za kuhifadhi nyama na vyakula vingine ambazo siyo salama kiafya. Na vyakula vyote vilivyotunzwa kwa njia hatari kiafya, viteketezwe. Ikifanyika mara kadhaa, hakuna atakayetumia njia hizo.
Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakitokea kanda ya ziwa jambo ambalo linapelekea serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini kanda ya ziwa?
Jana nimeona Mh makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya ziwa ni watu wanaotumia maji yakuoshea maiti kuhifadhia samaki.
Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.
Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.
Asante.
Kwanza napenda ku declare interest, mie ni mtu wa mwanza tena pembezoni mwa ziwa victoria, kasumba yetu huwa hatuli samaki wa kuhifadhiwa kwenye majokofu, huwa tunapenda samaki fresh tena mzuri zaidi yule anayefiki sokoni akiwa bado yupo hai.Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakitokea kanda ya ziwa jambo ambalo linapelekea serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini kanda ya ziwa?
Jana nimeona Mh makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya ziwa ni watu wanaotumia maji yakuoshea maiti kuhifadhia samaki.
Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.
Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.
Asante.
Hata butchers utakuta Amna nzi, Dawa hizo za kuhifadhia maiti wafanyabiashara hununua Kutoka Kwa wahuni na madaktari wasio waadilifu Mahospitalini.Kiufupi ni kwamba ukienda kununua samaki chagua duka lenye ma-nzi wengi ndio kuna samaki salama.
Ila unakuta duka la samaki lakini hakuna hata ka nzi kanakozengea maeneo hayo, seriously?
AKILI KUMKICHWA.
Suala la caricnogens bado kwa hapa Bongo halijaeleweka na wananchi wengi, hydrocarbon nyingi, baadhi ya halogen compounds hasa bromides pamoja na nicotine zinachangia sana kusababisha saratani.Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakitokea kanda ya ziwa jambo ambalo linapelekea serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini kanda ya ziwa?
Jana nimeona Mh makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya ziwa ni watu wanaotumia maji yakuoshea maiti kuhifadhia samaki.
Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.
Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.
Asante.
Ni Kweli, huhifadhiwa Kwa Siri kusubiri siku ya Arobaini, nahusisha jambo hili na UCHAWI kabisa.Acha kusambaza uongo mtumishi
Ninachoweza kukwambia ni kuwa...tuna viongozi wenye midomo isiyo TAHIRIWA.Wait, hayo maji wanayatumiaje kwa samaki?? Na yanaletaje kansa?
Hahahahaaaa.. wananchi wanalia, Makamu wa Rais naye analia, sasa sijui nani wa kuchukua hatua! Only in Tz...kazi iendelee.Hadi hali ifikie kuwa mbaya kiasi hicho, mabwana na mabibi afya wanakuwa wapi kufuatilia?
Au nchi hii ni kubwa kuliko uwezo wa viongozi na watendaji husika?
Ni aibu!
Hizo samaki unazo ziona ferry pale au soko la ilogonzara kwenye firiji zina subiria wateja wa Dar es salam wafungiwe kwenye ndoa wa ondoke na basi au na ndege watu wa mwanza wengi hawawezi kutumia pesa yao kununua samaki sato/sangala aliohifadhiwa kwenye firiji kwa sh 25k au 30kUkweli ni kwamba:
1) japo samaki wa kanda ya ziwa wanasafirishwa kwenda mikoa mingine lakini siyo kwa kiasi kikubwa. Na kuna watu katika mikoa mingine hawajawahi hata kuonja samaki wa kanda ya ziwa.
2) Zaidi ya 90% ya samaki wanaouzwa kwenye maeneo mbalimbali ya miji ya kanda ya ziwa huwa wamehifadhiwa kwenye maboksi ya barafu, na huwa kuna taarifa kuwa barafu hizo huwa zinatoka kwenye mashine zilizopo hospitalini (sina uhakika kama ni kweli).
3) si kweli kuwa wakazi wa mikoa hii hawatumii samaki waliohifadhiwa kwenye barafu au kuwekwa dawa nyingine ili samaki wasiharibike. Wafanyabiashara hawawezi kuwauza samaki wote wakamalizika kwa siku moja.
4) nenda hata hapo ferry jirani na posta, Mwanza, kwa wauza samaki. Huwezi kuona nzi yeyote kwenye samaki, ni kwa nini? Wakati samaki ana harufu kali ya kuvuta samaki kuliko nyama ya ng'ombe, mbuzi au kuku.
5) mamlaka za serikali zifanye kazi. Ziharamishe njia zozote za kuhifadhi nyama na vyakula vingine ambazo siyo salama kiafya. Na vyakula vyote vilivyotunzwa kwa njia hatari kiafya, viteketezwe. Ikifanyika mara kadhaa, hakuna atakayetumia njia hizo.
Formalin sio ghali kiasi hicho tusi li-underrate hata kidogo uchunguzi lazima ufanyike kutafuta ukweli kama upo we should brush it over.Samaki anayenunuliwa fresh kwa ajili ya kwenda kuliwa, unamwekea dawa ya kuhifadhi ili iweje........bei ya hao samaki ni kiasi gani hadi ugharamike kununua kemikali inayouzwa pesa nyingi na ambayo huwezi kuipata kirahisi.
Kuna jambo linatafutwa Ili kuhujumu Uchumi Kanda ya ziwa.Hii kitu kama ni kweli tutakufa wengi,wapo baadhi ya watu pindi wakila samaki familia yote inaona madhara kwenye ngozi,majipu yasiyoeleweka,pengine najaribu kukuelewa pamoja tatizo la Kansas kuwa kubwa Kwa baadhi ya maeneo.