DOKEZO Maji ya kuoshea maiti yanayo lalamikiwa kutumika kuhifadhia samaki yanauzwa kwenye maduka ya dawa za asili, Serikali imulike huko

DOKEZO Maji ya kuoshea maiti yanayo lalamikiwa kutumika kuhifadhia samaki yanauzwa kwenye maduka ya dawa za asili, Serikali imulike huko

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kiufupi ni kwamba ukienda kununua samaki chagua duka lenye ma-nzi wengi ndio kuna samaki salama.

Ila unakuta duka la samaki lakini hakuna hata ka nzi kanakozengea maeneo hayo, seriously?

AKILI KUMKICHWA.
 
Salaam,

Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakitokea kanda ya ziwa jambo ambalo linapelekea serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini kanda ya ziwa?

Jana nimeona Mh makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya ziwa ni watu wanaotumia maji yakuoshea maiti kuhifadhia samaki.

Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.

Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.

Asante.
hayo maji yanawekewa nini?tukijua tunaweza changia.
 
Sasa mkuu kama wanatumia formalin kuhifadhi samaki, kwa nini tatizo lisiwe kubwa huku Dar na mikoa mingine iliyo mbali na kanda ya ziwa ambako ndo tunategemea watumie samaki waliohifadhiwa?
Na nimepata kusikia kwamba sio samaki pekee bali hata nyama buchani !!
 
Salaam,

Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakitokea kanda ya ziwa jambo ambalo linapelekea serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini kanda ya ziwa?

Jana nimeona Mh makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya ziwa ni watu wanaotumia maji yakuoshea maiti kuhifadhia samaki.

Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.

Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.

Asante.
Vipi kuhusu kemikali zinazotoka migodini kwenye hatua za usafishaji wa madini? Hazifiki kwenye vyanzo vya maji au ziwa Victoria wanapotoka hao samaki?
 
Swali ni kuwa hayo hao samaki wanaohifadhiwa Kwa maji ya maiti wanauzwa Kanda ya ziwa pekee?

Kwann ihusishwe na kukua Kwa UGONJWA wa saratani Kanda ya ziwa pekee?

Kanda ya ziwa mostly hula samaki fresh Kutoka ziwani ambao hawajahifadhiwa Kwa friji.

Samaki wa Kanda ya ziwa wanasafirishwa Nchi nzima na duniani kote dagaa wakiwemo.

Kwann maji hayo yawe Kwa samaki Kanda ya. Ziwa pekee?

Kwann isiwe Kwa Nchi nzima?

Pwani hawatumii maji hayo Kwa samaki wa baharini?

Nijuavyo mm watu wa gizani huyatumia ktk vyakula vyote ikiwamo NYAMA ktk butchers. Wanaamini biashara itaongezeka.

Makamo wa Rais kama mamlaka haoni kuwa alitakiwa ashughulike tatizo kimya kimya Ili wahalifu wasibadili njia zao?

Maana mataifa ya nje yanayonunua samaki wanaweza sitisha biashara ya kununua samaki!!!!

Naona viongozi wetu wanakosa MAONO, mabadiliko ni lazima Ili Taifa lisiangamie.

S.gang wanakomeshwa😀😀😀
 
Na nimepata kusikia kwamba sio samaki pekee bali hata nyama buchani !!
Ni mwendelezo wa story za vijiweni, ni vigumu sana kuitumia hiyo kemikali ya formalin hata kuipata tu ni vigumu maana inathibitiwa na sheria za kemikali, lazima uwe na kibali hata kuweza kuinunua........huko buchani labda wanatumia zile spray za kuua wadudu kuzuia nzi.​
 
Watakuwa wanatumia dawa ya kupulizia kuua wadudu, kuna bucha unaingia hakuna nzi kabisa.
Nzi hawawezi kuisha kabisa buchani kwa kupulizia dawa za kuua wadudu tu !! Hiyo ni hiyo dawa inayosemwa huwa inafanya maiti isioze !! Na hii habari wala sio ngeni mbona ilishaongelewa sana mitaani miaka mingi iliyopita !
 
Vipi kuhusu kemikali zinazotoka migodini kwenye hatua za usafishaji wa madini? Hazifiki kwenye vyanzo vya maji au ziwa Victoria wanapotoka hao samaki?
 
Nzi hawawezi kuisha kabisa buchani kwa kupulizia dawa za kuua wadudu tu !! Hiyo ni hiyo dawa inayosemwa huwa inafanya maiti isioze !! Na hii habari wala sio ngeni mbona ilishaongelewa sana mitaani miaka mingi iliyopita !
Hizo ni story mkuu, formalin unaiweka vipi kwenye nyama? na humo ndani ya bucha kuna mtu atakaa humo kwa harufu, kupiga chafya na kuwashwa machoni, au wanatumiaje.....labda watuelimishe.
 
tatizo la saratani kuwa juu kanda ya ziwa ni kutokana na kemikali za migodini zinazoelekezwa kwenye vyanzo vya maji ikiwemo mito na kuishia ziwani. Haya ndo yaleyale ya tume ya Manyere kwamba samaki wa mto Mara walikufa kutokana na kuzidiwa na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Pathetic!!
Asante mkuu. Naunga hoja mkono.
Kwa upande wangu chanzo kinaweza kuwa zile sumu wanavulia samaki. Kipindi Cha kikwete wavuvi wengi walitumia sumu hizi kwa wingi.
 
Ni mwendelezo wa story za vijiweni, ni vigumu sana kuitumia hiyo kemikali ya formalin hata kuipata tu ni vigumu maana inathibitiwa na sheria za kemikali, lazima uwe na kibali hata kuweza kuinunua........huko buchani labda wanatumia zile spray za kuua wadudu kuzuia nzi.​
Wahusika wakitaka wanaouwezo wa kujua kila kinachofanyika huko mabuchani !! Narudia Wakitaka !!
 
Hizo ni story mkuu, formalin unaiweka vipi kwenye nyama? na humo ndani ya bucha kuna mtu atakaa humo kwa harufu, kupiga chafya na kuwashwa machoni, au wanatumiaje.....labda watuelimishe.
Hapo sasa ndio kasheshe !!
 
Tafiti nyingi zinahitajika ili kujiridhirisha kama kweli maji yaliyoosha Maiti yanasababisha Kansa! Vinginevyo hali ingekuwa mbaya kote nchini,maana mbali na wakazi wa Kanda ya Ziwa lakini mikoa mingine tunakula samaki wa kutoka huko hasahasa Sangala na Sato lakini hatujaathirika na ulaji wa samaki hao!
 
Exposure ya Chloroform inapelekea Matatizo mengi Kwa mwanadam kama vile Kansa, Matatizo ya In, Figo, ngozi n.k

Kanda ya ziwa , Kuna Huu ujinga wa wavuvi wa Samaki na wafanyabiashara wa Samaki unaokolezwa na Imani potofu

Ya kwamba, Maji walokoshea Maiti + ukichanganya na Chloroform ukienda Kuvua samaki, Ukimwaga Eneo lako la uvuvi samaki , utavua samaki Wengi sana.

Lkn pia , Wafanyabiashara wa Hawa samaki, hutumia Maji ya Maiti yalochanganywa na Chloroform kunyunyiza kwenye majokofu ya ya kuhifadhia Samaki Kwa lengo Moja, Samaki wasiharibike haraka, Pili, Wateja awe Wengi .

Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa ninawafaham, na hiii ndio michezo Yao !!.

MAKAMO WA RAIS YUPO SAHIHI,, TATIZO NI HIYO CHLOROFORM INAYOCHANGANYWA NA MAJI YA KUOSHEA MAITI !!.

Hizo Pesa mlogawia Waandishi Uchwara, wanaojua kuandika tu hata kama hawana Uelewa wa hayo mambo , ni vema mmngeongezea na ingetumika kufanya Kampeni juu ya hili swala .

Kanda ya ziwa, inaongozwa Kwa Matatizo ya KANSA.
 
Mwanza sili tena samaki zenu 😆🤣
Wachawi wako Dunia nzima, hata ktk butchers za nyama hutumia,

Nakushauri kuomba na kutakasa vyakula vyote na VITOWEO kabla hujavitumia.

Ktk butchers asilimia kubwa watu hulishwa NYAMA za watu, ndo Chanzo Cha magonjwa mengi ya WANADAMU.

Mahali Fulani mavi ya mbuzi yaliuzwa na kununuliwa kama maharage Kwa macho ya kibinadamu.

Kama ndo unajua Leo umeliwa. STUKA.

Ameeeen
 
Naomba kuuliza,haya maji ya kuuoshea maiti,ni maji Dawa au ni yale maji yanyokusanywa baada kuoshea maiti na kuhifadhiwa!!?
Nilivyo elewa Ili kuhifadhi bila kuharibika Ina maana Kuna dawa
 
Back
Top Bottom