Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Na huko kwenye Bar Maarufu fununu HIZI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is a very cheap argument, maji ya kuoshea maiti yana uhusiano gani na kutokea saratani.......do you have any mechanism behind.Hawa watu wanajaribu kupotosha kiini cha saratani kuwa juu huko Mwanza sijui kwa maslahi ya nani. Wafanye utafiti wenye mashiko, tatizo la saratani kuwa juu kanda ya ziwa ni kutokana na kemikali za migodini zinazoelekezwa kwenye vyanzo vya maji ikiwemo mito na kuishia ziwani. Haya ndo yaleyale ya tume ya Manyere kwamba samaki wa mto Mara walikufa kutokana na kuzidiwa na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Pathetic!!
Labda tuseme unamaanisha kemikali inayotumika kuhifadhi maiti, mfano formali, .hivi inaingia akilini utumie formalin kwenye samaki na isilete usumbufu kwa watu wanaohusika na wateja kwa kupiga chafya au kuwashwa machoni? Hizo kemikali are very pungent ukiifungua kidogo tu hapawezi kukalika.
Kama swala ni saratani inasabbishwa na hivyo vitu kutumika kuhifadhia samaki, logic inaonyesha kwamba case za saratani zingekuwa nyingi mikoa ya mbali na Mwanza maana ndo watatumia zaidi samaki waliohifadhiwa kuliko Mwanza ambako tutategemea watu wengi wanatumia samaki fresh ambao hawajahifadjiwa na kitu chochote.
Nahisi kama amekosea!!!Hivi ni maji au dawa?
Umenena vyema mwanza hawahifadhi samaki..samaki wanaohifadhiwa ndio wanaouza mikoa ya mbali na mwanza.This is a very cheap argument, maji ya kuoshea maiti yana uhusiano gani na kutokea saratani.......do you have any mechanism behind.Hawa watu wanajaribu kupotosha kiini cha saratani kuwa juu huko Mwanza sijui kwa maslahi ya nani. Wafanye utafiti wenye mashiko, tatizo la saratani kuwa juu kanda ya ziwa ni kutokana na kemikali za migodini zinazoelekezwa kwenye vyanzo vya maji ikiwemo mito na kuishia ziwani. Haya ndo yaleyale ya tume ya Manyere kwamba samaki wa mto Mara walikufa kutokana na kuzidiwa na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Pathetic!!
Labda tuseme unamaanisha kemikali inayotumika kuhifadhi maiti, mfano formali, .hivi inaingia akilini utumie formalin kwenye samaki na isilete usumbufu kwa watu wanaohusika na wateja kwa kupiga chafya au kuwashwa machoni? Hizo kemikali are very pungent ukiifungua kidogo tu hapawezi kukalika.
Kama swala ni saratani inasabbishwa na hivyo vitu kutumika kuhifadhia samaki, logic inaonyesha kwamba case za saratani zingekuwa nyingi mikoa ya mbali na Mwanza maana ndo watatumia zaidi samaki waliohifadhiwa kuliko Mwanza ambako tutategemea watu wengi wanatumia samaki fresh ambao hawajahifadjiwa na kitu chochote.
Mi piaNahisi kama amekosea!!!
Naamini hawatatuangusha ndugu zao !!Enhe! Hapo tena..... Mkuu, tumewaamini na kuwapa kazi ya Utafiti baadhi ya Watanzania wenzetu na kuwaweka katika Taasisi zitakazohusika na shughuli hizo. Endapo itabainika au hata kuhisiwa kwamba Utafiti na Majibu ya Utafiti huo Vitachakachuliwa basi ni bora ku-outsource shughuli hiyo na mchakato wa kumpata mtafiti au Consultant iwe ni kwa njia ya Tenda.( Lakini bro. ujue ni gharama kubwa).
Wamesikitishwa nini hao mafisi!!Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa?
Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya Ziwa ni watu wanaotumia maji ya kuoshea maiti kuhifadhia samaki.
Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.
Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.
Asante.
---
Kauli Makamu wa Rais kuhusu maji ya kuoshea maiti Kusababisha kansa
View attachment 2356409
Picha: Sehemu ya gazeti iliyoandika habari hii
Baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Phillip Mpango amesema ongezeko kubwa la ugonjwa wa saratani katika mikoa ya kanda ya ziwa unatokana na baadhi ya watu kutumia maji ya yanayotumika kuoshea maiti pamoja na dawa aina ya Cloroform inayotumika kuhifadhi samaki.
DK. Mpango alizungumza hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la wagonjwa wa saratani katika huspitali ya rufani ya kanda Bugando jijini Mwanza, jengo ambalo limejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 5.6.
Baada ya kauli hiyo, inadaiwa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza, Jana jioni ilianza kugawa fedha kwa waandishi wa habari kuzuia stori hiyo isitoke kwenye vyombo vya habari.
Taarifa kutoka ndani ya ofisi ya mkuu wa mkoa zinadai, fedha hizo zilikuwa zikitolewa na Katibu wa mkuu wa mkoa, bwana Matia Levi.
Inaelezwa zaidi ya waandishi 20 walipokea mshiko huo ili habari hiyo isiandikwe, lakini waandishi walipokea na kutoa habari hiyo.
Hata hivyo Leo mchana, Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza kitazungumza na vyombo vya habari kuhusu taarifa hiyo na inaelezwa wamesikitishwa na kauli ya Makamu wa Rais.
Mhh!!Ktk butchers asilimia kubwa watu hulishwa NYAMA za watu, ndo Chanzo Cha magonjwa mengi ya WANADAMU.
Mtu mwenye PHD anapoargue kama muuza dagaa wa mwaloni!!!!Umenena vyema mwanza hawahifadhi samaki..samaki wanaohifadhiwa ndio wanaouza mikoa ya mbali na mwanza.
Makamu wa rais kapotoswa naye kaingia king.
#MaendeleoHayanaChama
Tatizo unazungumzia nadharia na siyo uhalisia.Samaki anayenunuliwa fresh kwa ajili ya kwenda kuliwa, unamwekea dawa ya kuhifadhi ili iweje........bei ya hao samaki ni kiasi gani hadi ugharamike kununua kemikali inayouzwa pesa nyingi na ambayo huwezi kuipata kirahisi.