Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nacheki Global TV online kupitia You TubeChaneli gani mkuu? Lord denning
Nenda Youtube kikao kinaendeleaWeka video mkuu
Niliwahi kusema hapa kwamba unaweza kumuuliza Lissu swali kabla ya kulijibu swali akaanza kuchambua uhalali wa swali kwanza.Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣
Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.
Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
kwahiyo huyo tapeli anataka kuulizwa maswali kulingana na anavyotaka yeye right?Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣
Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.
Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Tatizo ni kwamba anakua ameaandaa marking scheme kabisa ya majibu na maswali apendayo kuulizwa,Niliwahi kusema hapa kwamba unaweza kumuuliza Lissu swali kabla ya kulijibu swali akaanza kuchambua uhalali wa swali kwanza.
We jamaa una ugonjwa wa akili. Unahitaji tiba ama utaokota makopo.Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣
Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.
Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Kiongozi, watanzania tuna shida sana. Balile amejitahidi sana kuwa professional anajitahidi asiegemee upande wa chama chake ili kutengeneza credibility ya mahojiano, kumbe tena sisi tunataka alumbane?Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣
Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.
Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Unaweza kupewa zawadi, ukituthibitishia utapeli wa Lissu hata wa kubahatisha. Vingeinevyo wewe unayemshambulia utabeba sifa hizo za utapeli, chuki na roho mbaya.kwahiyo huyo tapeli anataka kuulizwa maswali kulingana na anavyotaka yeye right?
kwamba akiulizwa swali tofauti na majibu ya marking scheme aloiandaa mfukoni, itakua soo sana, right?🐒
Mbona imempa hadhi hivyo?Lumumba FC Hoi Yule Balile Ni Mlamba Viatu
Pascal Mayalla kamuonea huruma. Kamwambia Na we Balile uwe unaita msaada usaidiwe😀😀😀Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣
Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.
Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Ni kweli kwa sehemu nyingi ametimiza wajibu wake kama Moderator.Kiongozi, watanzania tuna shida sana. Balile amejitahidi sana kuwa professional anajitahidi asiegemee upande wa chama chake ili kutengeneza credibility ya mahojiano, kumbe tena sisi tunataka alumbane?
Kwa maoni yangu amejitahidi kuwa fair, maswali mengi ameuliza yako objective ili kuset tone pamoja na kumpa uwanja Mhe TAL kuuza sera yake na chama chake. Ni maswali ambayo baadhi ya wananchi na wafuasi wanajiuliuza.
What else did we expect kutoka kwa mwanahabari? Je tulitaka amshinde TAL? Then What?
Wanaamini wanaonekana, wamepata Platform ya kuonekanaTatizo la Balile na Pasco Mayala wanauliza maswali ya kutaka kuifurahisha CCM
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣
Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.
Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Hayo mambo ya tundu lisu anayoongea mtatekeleza lini...Mtoa mada kuwa makini na hy bangi unapouziwa, itakuwa wanachanganya na makapi.