Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣
Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.
Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!