Majibu haya ya Lissu kwa Lema juu ya ujio wake, yananifanye niwaze kuwa kuna Power of Nature iliyo nyuma ya Lissu ambayo hata yeye mwenyewe haielewi

Wacha wafu wazikane,tunaenda Darisalama kumpokea Lissu.
Kwataarifa yako Singida mabasi ya kesho yamejaa hakuna nafasi.
Watu wanachangiama magari binafsi kwenda Dar kumpokea Mteule wa Mungu
Haitakuwa busara kipindi hiki Cha msiba
 
Well, mi ni pro-Magufuli kindakindaki.

Ila Lissu akirudi halafu serikali imdhuru au imkamate au imbugudhi kwa namna mmoja au nyingine nitawashangaa sana dola na nikiri wazi hii itatia doa image ya Magufuli niliyonayo kwake.

Kisiasa. Huwa Vice Versa mkuu. Siku Zote swali. Ni Nani atafaidika. So acheni maneno mengi. Hawa wanachadema. Ndo wanaanza palilia ouvu. Vitu haviwezi kuwa rahisi hivyo.
 
Lazaro Nyaladu mbele kwa mbele
 
Well, mi ni pro-Magufuli kindakindaki.

Ila Lissu akirudi halafu serikali imdhuru au imkamate au imbugudhi kwa namna mmoja au nyingine nitawashangaa sana dola na nikiri wazi hii itatia doa image ya Magufuli niliyonayo kwake.
Kuna amri kibao za mahakama za kukamatwa kwake kwa kesi kadhaa alizonazo. Na wadhamini wa baadhi ya kesi zake walishaomba akamatwe kitambo ili wajitoe kwenye udhamini, ikashindikana kwakuwa hakuweza kukamatwa. Hawa wadhamini waliweka mali zao rehani na ni ndugu zake, hivyo walikuwa wanakwenda kutaifishiwa mali zao maana waliyemdhamini hapatikani.
Usifikiri Lisu anarudi sababu ya siasa. Watu wana nyumba wanapigania zisitaifishwe. Hivyo jiandae kisaikolojia.
 
We jamaa nani kasema tunaandamana,,,sisi hatuandamani bali Tunaenda kumpokea mpendwa wetu
 
Mkuu huu
Hana lolote huyo hakuna hata mmoja anayehangaika naye tuko busy na maombolezo ya Rais Mstaafu Mkapa.
Mkuu huu Uzi umeandika wewe peke yako, Ni vizuri ukatumia nafsi yako pekeyako. Ulitakiwa uandike upo busy na maombolezo ya Rais Mstaau Mkapa.
 
Kama haogopi kwanini ameomba kulindwa? Kwanini anjisemesha semesha ili watu wamsikie?
Ukweli ni kwamba anahofia kifo pia kwa sasa hanapesa za kuendelea kuishi huko. Ina maana hana namna nyingine zaidi ya kurudi.
Kwani Tz kuna ugonjwa siku hizi kua mtu akija basi ana kufa?
Je ,ni kua kuna mipango ya kumuua?
 
Nakuapia Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mungu wa Eliya, Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo. Lissu atafika salama na Atagombea urais kwa uhuru na amani tele.

Baba wa Mbinguni aendelee kumlinda kwa Sifa na Utukufu wa Jina lake.

Kwa nyongeza ni maandishi ya Isaiah 41:10 yanayosema: "Do not fear, for I am with you; Do not anxiously look about you, for I am your God.
I will strengthen you, surely I will help you, Surely I will uphold you with My righteous right hand".
 
Kwa nyongeza ni maandishi ya Isaiah 41:10 yanayosema: "Do not fear, for I am with you; Do not anxiously look about you, for I am your God.
I will strengthen you, surely I will help you, Surely I will uphold you with My righteous right hand".
Amen!
 
Jambo la muhimu ni kuendelea kufuata maelekezo ya wataalamu ikiwa ni pamoja na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia msisahau na barakoa sehemu zenye mikusanyiko!
 
Mbona hatukuheshimu uafrika wetu kwa kumtwanga Risasi zote zile?
 
Kama haogopi kwanini ameomba kulindwa? Kwanini anjisemesha semesha ili watu wamsikie?
Ukweli ni kwamba anahofia kifo pia kwa sasa hanapesa za kuendelea kuishi huko. Ina maana hana namna nyingine zaidi ya kurudi.
Ulihusika nini? Naona povu kama lote.Anarudi aisee
 
Kama Lissu atakamatwa na serikali na kuwekwa kizuizini, hakutakuwa na kampeni wala uchaguzi mkuu mwaka huu.
 
Bar zinaendelea kuuza, soka linaendelea kuchezwa, miziki inaendelea kupigwa..au hayo kwako ni matukio ya huzuni? Acha kupangia watu nini wafanye nini wasifanye! Aliekufa ameishi maisha yake tayari, isiwe sababu ya kuzuia wengins waishi maisha yao
 
Ulihusika nini? Naona povu kama lote.Anarudi aisee
Maisha yamebadilika sana. Hutaamini atakavyopokelewa na kuzimika taratibu.
Wajumbe wamemtosa pigo mabadiliko halisia ndani ya chama.

Pigo la pili ni matumizi mabaya ya Musiba.
Wapambe wake wametia maji msibani ..alipashwa kuheshimu hisia za wapiga kura (wajumbe) wanaheshimu misiba na kwao ni Ibada kamili.
Hizi ni Mila na desturi za wajumbe kwa ujumla wake lakini hajatumia kama nafasi hii pekee ili kulia na kuomboleza nao.
Pigo la tatu ni barua za kutishia walinzi wanaolinda usalama wako. Hapo imekula kwake.
Tegemea mapokezi dhaifu toka kwa walinzi. Mlinzi ni sawa sasa na Wajumbe.
Mwisho, kwa mara ya kwanza atakanyaga na kutumia vitu vyote alivyovinajisi kwa kauli zake.

Kwanza Terminal 3, ndege za (AirTz) , Barabara zenye Flyover.
Atakunywa maji yaliyoletwa na Dictator uchwara. Atacharge simu yake kwa umeme wa yule aliyemwita Mshamba. Maisha yake hayawezi kukwepa ustawi mpya uliojengwa na JPM
(Things fall apart) Kitabu
 
Asante mungu kwa sababu ya Lisu anarudi nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…