Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
😱 😱😱 just confirming our HIT! ... THANKS!Hana lolote huyo hakuna hata mmoja anayehangaika naye tuko busy na maombolezo ya Rais Mstaafu Mkapa.
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😱 😱😱 just confirming our HIT! ... THANKS!Hana lolote huyo hakuna hata mmoja anayehangaika naye tuko busy na maombolezo ya Rais Mstaafu Mkapa.
Mbona hatukuheshimu uafrika wetu kwa kumtwanga Risasi zote zile?
Chadema wametendewa mambo mengi sana yasiyofaa,lakini uvumilivu wao ndiyo umeleta Amani hii tuliyo nayo hadi Leo. Wangekuwa ni watu wa visasi sijui tungekuwa kwenye hali ganiSio sababu ya kufanya kama hao ambao hawawezi kamwe kujitikeza na kujitaja mana wanajua kuwa walilolitenda sio jambo jema.
Hatutaki mtu au Chama kitakachozidisha au kujenga mpasuko zaidi badala ya kutuleta pamoja kama Taifa.
Mungu anapompa mtu ukuu na utawala juu ya watu ana makusudi ya kuleta mabadiliko katika nyakati.
Kama tutaiondoa CCM halafu tuleta Chama chenye watendaji wenye hulka ile ile basi tutakua tumeruka mkojo tukakanyaga mavi.
Utofauti wa Mh .Magufuli na mtangulizi wake ndicho kilichoifufua CCM.
No matter kama anafanya vizuri au laa.
Chadema ikiingia ikaiga mbinu hizi hizi za CCM basi itatawala awamu moja tuu.