Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

John Mnyika
Mh. Mbunge swali uliloulizwa na Nape jibu lake ni dogo sana; sidhani kama ulikuwa unahitaji kurasa nzima kulijibu; jibu lake lingekuwa hivi "elimu yangu ni kidato cha sita nilijiunga Mlimani kusomea BBA sikubahatika kumaliza"; nina uhakika hapo ungeeleweka zaidi; na inasikitisha sana kuona kijana kama wewe unajinyima haki yako ya kusoma kwa kigezo cha kuitumikia siasa na hili dai lako la kudai eti utarudi kusoma siku CCM ikitoka madarakani ni wazi umeamua kutokusoma kwa makusudi CCM haiondoki madarakani leo wala kesho; pamoja na kwamba unadai elimu haihusiani na kazi zako ni wazi umeamua kutupotosha kwa makusudi; elimu ya darasani ina umuhimu wake tena mkubwa sana; usiwadanganye vijana wa jimbo lako wakaacha kusoma kwa kutumia vigezo ambavyo havina msingi; ushauri wa bure wakati unaendelea na majukumu yako kama mbunge endelea na masomo; utaona ni jinsi inakusaidia kujenga hoja zako kisiasa.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
umesema kweli mkuu kwani only a fool argues with a fool so mr mnyika please dont waste/spend too much time in your own defense. hawa watu wanajaribu kuzingua tu, porojo tupu.
 
wewe uliyemaliza mbona hatuoni impact ya Elimu yako kwenye nchi hii zaidi ya kukesha JF kushabikia udini?

Mkuu Precise pangolin
Hujataka tu kuona impact za zomba kwenye jamii inayomzunguka mwaka jana alisaidia watu wapewe dhamana na kutolewa mahabusu maeneo ya wazo baada ya kutaka kubambikiwa kesi ya wizi; hilo sio dogo nalo na yapo mengi tu ambayo hajataka kuyaweka hadharini.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Pig-up kamanda, well done kujibizana na mambulula nikujichosha. Huyo Nape na Ridhiwani waweke maelezo juu ya Cv zao kama sio vituko vitupu
 
MY TAKE HOME MESSAGE
MNYIKA HAJAWAHI KUFELI... vitoto vimefeli kweli mwaka huu form four

MNYIKA MADE CHOICES ... vitoto vya mwaka huu havina choice kwani vimekua victims wa mfumo mbaya wa ccm

MNYIKA KAJIBU HOJA ... wale malaya wa ccm kama muuaji wa vitoto Ze Marcopolo na Muppet Zomba wanahangaika kutetea viunga vyao

MNYIKA ALIWAENDESHA WAKIWA SHULE... na vijamaa kama Riz vilifuata mkumbo tu
 
Hizi kauli za kusema elimu sio vyeti halafu mnashangaa kwanini wanafunzi hawafaulu. Its simple, kwa sababu jamii haiheshimu elimu, inaheshimu longolongo na porojo zinazopigwa bungeni. Kwanini mwanafunzi akeshe akisoma wakati anajua kuwa akipiga domo tu inatosha???

Unalinganisha mlenda na pilau

Mnyika alifaulu aka-opt out, hawa watoto wamefeli, hawana choice

Wewe binafsi umekeshas sana, na ukafaulu, sasa uko bize unapiga domo maana kule kwingine si ulikua unaharibu sana??

usilinganishe pro-poor na poor

au a voluntary choice of a polician na forced choice yako ya kushindwa kufanya kazi uliyoipigia kitabu
 
Mnyika huhitaji kuwajbu hao punguani wa fikra, uwezo wako tu kuanzia unavyojenga hoja uko mbali kabisa vuvuzela nape upeo wake mdogo hakukuti hata kidogo, huyo mtoto wa ikulu ndo akae mbali kabisaa , zaidi ya kutuibia wa tz hana uwezo wowote na amshukuru mkuu wa kitivo kwa kumpa hiyo gentlemen otherwise wangekula kichwa,,,! your great john..
 
NIMEKUELEWA MBUNGE WANGU MNYIKA

Nimeisoma vizuri taarifa ya bwana Mnyika na nimeielewa. Nimeona sababu za msingi kwa nini hakumaliza shule na majibu juu ya hoja ambayo aliisimamisha bwana Nape Nnauye.

Ni jambo zuri ambalo amelifanya maana tumefunguka na kujua ukweli. Lakini naomba radhi kama sikueleweka vizuri. Nilichofanya mie ni kumuita ukumbini ili atutoe wasiwasi hasa mimi kama nilivyojielewa kuwa nilikuwa naye chuoni na ninaheshimu sana uwezo wake wa ufahamu.

Mwisho nimuhakikishie, ni jukumu la CCM kuhakikisha kuwa maji yanapatikana Jimboni Ubungo na tutayaleta. Kubwa zaidi akumbuke ilani yetu ni ya miaka mitano na maji yatafika pale kabla ya 2015. La msingi aendelee kuisukuma serikali na kumkumbusha waziri maghembe juu ya utekelezaji wa ya maneno yake mazuri na sio mbwembwe za kufurahisha baraza.

Mwisho, nikupongeze mnyika kwa kuja hadharani na kutoa wingu. Ni imani bwana Nape na wasomaji wengine tumekuelewa.

Shukrani. Hatuchafuani, tunasaidia kuwekana sawa . Huu ndiyo uwazi kwa vitendo.hongera muheshimiwa mbunge wangu.

SOURCE:RIDHIWANI KIKWETE FB PAGE
 
Kujibizana na Nape ni kupoteza muda,kwanini ashihoji elimu ya pr.maji marefu au Deo sanga? Hii yote inaonyesha jinsi baadhi ya viongozi wa ccm walivyo kosa hoja!

AU hata ile ya GODBLESS LEMA,NYERERE wa CHADEMA na JOSEPH MBILINYI?!!!
 
Mnyika huhitaji kuwajbu hao punguani wa fikra, uwezo wako tu kuanzia unavyojenga hoja uko mbali kabisa vuvuzela nape upeo wake mdogo hakukuti hata kidogo, huyo mtoto wa ikulu ndo akae mbali kabisaa , zaidi ya kutuibia wa tz hana uwezo wowote na amshukuru mkuu wa kitivo kwa kumpa hiyo gentlemen otherwise wangekula kichwa,,,! your great john..

Hakuna hoja yoyote iliyojengwa na John Mnyika alichofanya ni kutafuta sympath; inashangaza sana mbona vijana wenzake kina Tundu Lissu; Zitto wamemaliza vyuo na wanaendelea na mapambano kama wanavyodai; hata mtu wangu wa deals Lema amemaliza elimu yake; sasa sielewi anachokiongea John Mnyika hata hao akina Mugabe pamoja na kuwa walikuwa wanapigana vita vya msituni kutafuta uhuru Southern Rhodesia bado walijizatiti kwenye elimu pamoja na walikuwa kwenye mazingira magumu bado walisoma na kuhitimu; ni vyema sana kama mh. John Mnyika angekuja na jibu honest; sio tu kwetu hata kwake yeye mwenyewe.

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz, Precise pangolin
 
Last edited by a moderator:
Well Mnyika...this dude wanajaribu kutoa watu kwenye tention ya mambo muhimu kujadili mustakabali wa taifa na matokeo yake wanauliza maswali of which google ingewajibu so far kuna links nasoamini zingewalead kupata wanachotaka...Chapa kazi Mkuu,mzigo ulionao jimboni unakutosha!
 
mnyika hukuhitaji kuwaji bu hao una majukumu mengi ya msingi. katika falsafa tunasema ikiwa kizuri kizuri tu huna haja ya kukipigia debe, wataisoma namba wenyewe unless it is needed to be done so in the court of justice.
anyway katika siasa haya nayo yamooooooo na yanahitajika somehow.

pamojaaaaaa kaaaaa
 
hawa walitumwa kuchafua hali ya hewa au kukutafuta maneno walifikiri utaanza kupayuka kama nape, nchemba, dungai makinda,na wengine wa aina zao
 
big up brother!kaza buti.tunamsubiri huyo rizi 1 amuulize baba yake kuhusu tatizo la mwaka alilosema mpaka kufikia 2013 feb litakuwa historia.
 
Ridhiwani Kikwete alipata degree ya sheria kwa kusuasua na uwezo wake kisheria ni mdogo sana waliosoma naye wanamjua
 
Mnyika umeeleza vizuri sana,swala si elimu ya mtu,hao wenye elimu wamefanya nini.Chapa kazi mkuu
 
Mnyika kaza buti' hata ungekuwa na elimu ya darasa la7 siyo hoja. Hoja ni jinsi gani unaelewa mambo na kuweza kuyataftia ufumbuzi. Nape huna lolote wewe ni sawa na Mwigulu Nchemba aliyesomea jina la mwenzake.
 
haya maelezo meeeeeni lakini kama mistali miwili tu!.......yanavutia kusoma
 
Back
Top Bottom