NAPE:
Alienda kusoma india lakini hakumaliza degree kutokana na ukilaza na pia ulafi wa kukimbilia madaraka Tanzania, akarudi na kuja kutafuta umaarufu kwa kumvaa Lowassa na jengo la UVCCM. Amefanikiwa kumaliza elimu yake ya kuunga unga mzumbe kibabe babe kama kiongozi, sio kwa nidhamu kama wanafunzi wengine wa kawaida.
RIDHIWANI:
Kijana huyu wenye kujua zaidi habari zake ni IMMA advocates. Kwa kifupi, hana uwezo wowote darasani, chuo alifanyiwa mitihani na IMMA advocates kwa kushirikiana na waadhiri fulani fulani. Pia mwaka 2004 alipelekwa uingereza kusomeshwa na IMMA advocates kutokana na ukaribu wa IMMA na Lowaasa. Hapa uingereza, akafeli kozi chuo cha kwanza, IMMA wakampeleka kwingine, huko pia akafeli kwani nchini UK hakuna kuhonga au kufanyiwa mitihani, akarudi nyumbani, na ni IMMA advocates ndio wamemsaidia mpaka akapata uwakili, again kwa kufanyiwa mitihani. Ridhiwani ni kilaza, hata kiingereza chake ni kichekesho.
Kwa kifupi, mtoto wa mtanzania wa kawaida/Mkulima - Mzee Mnyika amezaa kichwa (john) kuliko viongozi wa CCM ambao walikuwa na nafasi zote za kuwafanya watoto wao kuwa exemplary students - Kikwete (Ritz), Mnauye (Nape). Angalau kina Makamba, Lowassa, Warioba, Mwinyi, Malecela (ukimtoa kilaza William), na wengineo, watoto wao wapo vizuri sana kichwani, kama kuna matatizo, basi ni mengine, sio kichwa.
John Mnyika, kwa mtazamo mdogo tu kila mtanzania anaelewa jinsi gani ulivyo kichwa, wala hauna haja ya kujitetea.