wewe uliyemaliza mbona hatuoni impact ya Elimu yako kwenye nchi hii zaidi ya kukesha JF kushabikia udini?
Hizi kauli za kusema elimu sio vyeti halafu mnashangaa kwanini wanafunzi hawafaulu. Its simple, kwa sababu jamii haiheshimu elimu, inaheshimu longolongo na porojo zinazopigwa bungeni. Kwanini mwanafunzi akeshe akisoma wakati anajua kuwa akipiga domo tu inatosha???
Kujibizana na Nape ni kupoteza muda,kwanini ashihoji elimu ya pr.maji marefu au Deo sanga? Hii yote inaonyesha jinsi baadhi ya viongozi wa ccm walivyo kosa hoja!
Composed, poised, and polished!
Dogo wa Kikwete na Nape sidhani kama wanaweza kuandika kama alivyoandika Mnyika hapa!
Mnyika huhitaji kuwajbu hao punguani wa fikra, uwezo wako tu kuanzia unavyojenga hoja uko mbali kabisa vuvuzela nape upeo wake mdogo hakukuti hata kidogo, huyo mtoto wa ikulu ndo akae mbali kabisaa , zaidi ya kutuibia wa tz hana uwezo wowote na amshukuru mkuu wa kitivo kwa kumpa hiyo gentlemen otherwise wangekula kichwa,,,! your great john..
Composed, poised, and polished!
Dogo wa Kikwete na Nape sidhani kama wanaweza kuandika kama alivyoandika Mnyika hapa!