Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Umewaza kitu ambacho ni muhimu sana,ni kweli nchi nyingine zinazojua umuhimu wa watu Genius kama JJ
wangemtumia kwa manufaa ya nchi,lakini inasikitisha mijitu ndio kwanza inatafuta kumvunja moyo na kumkatisha
tamaa kwa juhudi zake kuwakomboa wananchi,jiulize tofauti kubwa ya kiufahamu kati ya Mnyika na Ridhwani
ameongelea suala la mtu ameahidi kuwa na maji safi kwa kipindi ambacho kimeshapita,mwenye ufahamu mdogo
anajibu sera zao ni mpaka 2015!!!!!stupid"!!!!!!
Nape sasa na Ridhiwani wako wapi???hebu tuachane na hao goigoi wanataka kutuhamisha kwenye hoja za msingi.hongera Mnyika chapa kazi kamwe hakuna kurudi nyuma.
Ikiwa hivyo CCM ndio watakuwa waathirika wakubwa. Wabunge wasio na shule ni wengi kwao na tu watakachofanikiwa ni kumfanya Mnyika apumzike kwa miaka 5 tu afanye degree yake na masters as well arudi tena kwa kishindo,kwani wewe kwa jinsi tu alivyojieleza hapa na jinsi anavyowajambisha bungeni mpaka wanazuia hoja una mashaka na kichwa yake?
Wewe na muono wako nami nimempa ushauri huyo kijana, akipenda auchukuwe akipenda auache. Ni ushauri wa mtu mzima kwa kijana mdogo mwenye matatizo makubwa ambayo wewe na walio kama wewe kwa upofu wenu hamuyaoni.
mtu asiye na hoja anisumbui
hapa alipo yupo mbali mno; ukiwa na akili kama hizi godfaza hana nafasi, sana sana atakuchanganya sababu atakujaza utumbo wa kutumia short-kati kujinufaisha ki maisha, atajifanya anakusaidia kupitia mlango wa nyuma ambapo baadaye jamii inakudharau.Nimempa Mwanangu wa kiume ausome huu ufafanuzi wa Mnyika!nikamwambia nikifa mapema,huyu ndo awe role model wako!yupo hapo sababu hana "Godfather"....angelikuwa na Godfather ktk system Mnyika angekuwa mbali sana!!Nikajiuliza mimi nikifa leo,je mwanangu anaweza kupambana peke yake kiasi hiki?
Ushauri unaotanguliza kumwita chizi ni wa kushanga. Chizi huyo huyo akihamia CCM mtamwitwa jembe. Kama si ngera ni nini?
"Akihamia CCM" itakuwa kapona, kwani kila maradhi yana dawa.
Naomba sasa umshauri "ahamie ccm" ili ale matunda ya nchi. Sijui mtampa limama lipi limliwaze?