Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

ilishawekwa kitambo humu ndani Mnyika ni genius neither makamba nor zito will suit with him.
 
Mnyika CV haina tija; O-level na A-level nayo ni CV?

Usitishike kwa kubwabwaja kwake, hata shahada HANA!!!
 
Fungua Google.co.tz andika John Mnyika then click search, utapata link yenye cv ya Mnyika.
 
Magazet ya Jana yalihanikizwa na habari za makamba, Mnyika na zitto juu ya urais wa Tanzania, cv ya zitto tunaijua na makamba imeishawekwa humu jamvini na tunayo tunaisoma, kwa mustakabali wa taifa letu tunapendelea tuwekewe CV ya mbunge wa ubungo CV yake tupate kuisoma.
Ahsanteni nawasilisha.U

Ilishawekwa humu Jamvini kama hukuiona pole. Lakini iko safi sana hajawahi kurudia wala kuungaunga mtihani kama nanilii wa wizara ya Elimu.
 
Akili ya mleta mada anatofauti na akili ya maCCM,

(yana solve tatizo likishaonesha ubaya kwa jamii na udeal zaidi na nani kafanya hivi, baada ya kusolve kiini cha tatizo kabla ya kutokea)

shame on u.
 
Mnyika CV haina tija; O-level na A-level nayo ni CV?

Usitishike kwa kubwabwaja kwake, hata shahada HANA!!!

Wewe umeona shahada ni issue? Mbona kuna Mijitu ni miprofessa lakini kichwani ni PUMBA tu.
 
Uzi upo hapa jamvini mzuri ukielezea
ukweli mtupu wa Elimu yake yote
uzuri hajadanganya kuwa ana digrii

Ni form six level,sidhani km unajaribu
kuitafuta ukaikosa humu
Fanya hayo kwa kutaka kujua si kwa kutumwa
na mtu yoyote maana cv pekee sioni msaada
wake kwa hatima ya Nchi yetu hii

Iliyojaa maprof,madr n.k
 
Mnyika personally aliweka CV yake humu na ilikuwa proper & proportional detailed.

Labda mleta mada uwe unatafuta kuolewa na Mnyika kwani jamaa bado hajaoa....
 
Magazet ya Jana yalihanikizwa na habari za makamba, Mnyika na zitto juu ya urais wa Tanzania, cv ya zitto tunaijua na makamba imeishawekwa humu jamvini na tunayo tunaisoma, kwa mustakabali wa taifa letu tunapendelea tuwekewe CV ya mbunge wa ubungo CV yake tupate kuisoma.
Ahsanteni nawasilisha.U

Wakisha kuambia CV ya Mnyika uulize pia ya Prof. Maji Marefu na ya Lameck Airo (Lakailo)
 
Magazet ya Jana yalihanikizwa na habari za makamba, Mnyika na zitto juu ya urais wa Tanzania, cv ya zitto tunaijua na makamba imeishawekwa humu jamvini na tunayo tunaisoma, kwa mustakabali wa taifa letu tunapendelea tuwekewe CV ya mbunge wa ubungo CV yake tupate kuisoma.
Ahsanteni nawasilisha.U
Hao wote uliowataja Makamba na Zitto hawezi kulinganishwa na busara za Mnyika. Mnyika ni kipanga wa kutupwa and down to earth!!! waulize aliosoma nao. Makamba alishiriki kuiba mtihani na alifutiwa matokeo!!! Waliosoma nao Tanga wanajua hili!!! Alivyopenya kitaaluma inatia mashaka!!!!! Zitto ni average performer academically ila politically young politician training ya Wajerumani imemsaidia sana!!
 
Mnyika personally aliweka CV yake humu na ilikuwa proper & proportional detailed.

Labda mleta mada uwe unatafuta kuolewa na Mnyika kwani jamaa bado hajaoa....

MD25 You made my day!!!! Mnyika ni zaidi ya watu wamjuavyo, nakumbuka kuna watu waliosoma nao hapa walisema O-level alitoka na Dv 1 kali sana. Also ninamfahamu kama a very good reviewer!!! Ametumika sana ku-review documents za International Organizations hapa kwetu!!!! He is smart. Mnyika hebu tuwekee tena CV yako ili niichote na siku wanakuja tena na promo zao niwashushie tu bila hiyana.
 
Magazet ya Jana yalihanikizwa na habari za makamba, Mnyika na zitto juu ya urais wa Tanzania, cv ya zitto tunaijua na makamba imeishawekwa humu jamvini na tunayo tunaisoma, kwa mustakabali wa taifa letu tunapendelea tuwekewe CV ya mbunge wa ubungo CV yake tupate kuisoma.
Ahsanteni nawasilisha.U

Bila shaka wewe mgeni humu JF... Kabla ya kuanzisha uzi ingekuwa vema uka-search kwanza unachotaka kuuliza!
 
Mnyika personally aliweka CV yake humu na ilikuwa proper & proportional detailed.

Labda mleta mada uwe unatafuta kuolewa na Mnyika kwani jamaa bado hajaoa....

Kwanini wafuasi wa chadema hamuwezi kijenga hoja mpaka mtukane? Mnatutia mashaka na uwezo wenu na viongozi wenu pia.
 
Mnyika CV haina tija; O-level na A-level nayo ni CV?

Usitishike kwa kubwabwaja kwake, hata shahada HANA!!!

usihali wala kuona aibu nenda akupe credit na wewe uende chuo, hakuna chuo cha kusoma mnyika Tanzania
 
Back
Top Bottom