Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma


umejiunga lini?timu ya lumumba imesajili dirisha dogo nn!?mbona kila ck cv ya mnyika ipo humu
 

waulizeni hao wapita kwenye josho "who taught the first proffessor?"
 
Mnyika ni kichwa sana! Huezi mlinganisha na mwigulu chemba
 
Mnyika personally aliweka CV yake humu na ilikuwa proper & proportional detailed.

Labda mleta mada uwe unatafuta kuolewa na Mnyika kwani jamaa bado hajaoa....

Una uhakika mleta mada na yeye hajaolewa?
 
Mnyika mdogo wangu elumu sio silaha wala funguo wa uongozi na ninakuhakikishia kati ya hao unaowapa maelekezo hakuna hata mmoja mwenye kukukaribia sio elimu hata uongozi na hata kujenga hoja usijizalilishe kupoteza muda na hawa walafi wachumia tumbo ambao hawajali hata kizazi chao kijacho piga kazi kwa faida ya watz na sio kuwa vuvuzela wa tumbo kama hao uliowataja tunakupenda, kukuheshimu na kuitaji mchango wako kitaifa na sio kikanda au ki wilaya. Show us what you got buddy



 

Mkuu hawa vijana wa Lumumba Project, wakiishiwa HOJA, uwa wanakuja na VIROJA, ili mradi siku isipite bila kupata buku 7 zao....
 
Kwanini wafuasi wa chadema
hamuwezi kijenga hoja mpaka mtukane? Mnatutia mashaka na uwezo wenu na
viongozi wenu pia.

Kwa sababu ya hoja zenu za ngomani zilizojaa maneno ya taarabu ndio maana tunawapa za uso....
 
Tatizo la mwigulu ni zile nyama za punda zinamtia hasira na kulipua mabom ovyo
 
Naomba kuuliza hivi nape anatumia mkorogo? Samahani kwa swali hili maana najua mkorogo ni sumu ambayo inaweza kumsababishia mtu uwezo WA kufikiri.
 
Binafsi si CCM na siivi na hao vijana wawili yaani Nape na huyo Riz1 lakini response ya Riz1 inayofuatia bandiko la Mh. Mnyika imenisisimua.
Namsifu kwa kuja mbele na kuomba radhi; jambo ambalo kamwe Nape kwa arrogance yake hatafanya!
Sioni sababu tena za kumjadili Riz1 bali huyu mropokaji Nape; aje hadharani naye atoe details zake kama alivyofanya mwenzie.
 
Uzuri wa siasa, mwisho wa siku lazima propganda ijitenge na ukweli. Mnyika ni Jembe la Chadema tegemeo kubwa sana mbele ya safari.
 
Hawakustahili hata hayo majibu mazuri kiasi kile, Nape na R1, Mnyika ni babu kubwa kwenu, nyinyi mnabebwa na nyadhifa za baba zenu kijana anapasua kwa uwezo wake, bisheni mpaka mfeee lakini ndo ukweli.
 
Keep it up Mnyika, nilisikia tu vijana wakisema wewe kichani ni hatari na ulipata Dv. ya pt 7, japo ulipata Dv 2 form VI nimegundua ni kwa kuwa ulikuwa too busy na mambo ya kijamii. Hata hivyo bado ni Dv, Nzuri ya kwenda Chuo. Cha msingi, punguza majukumu, ninakutakia kila la heri maliza degree, pata masters faster hata kwa Open University kuna MCED ambayo wanasoma kwa semester 3 tu na kila moja ni wiki 2. Ukimaliza anza PhD, hii unasoma at your time. Kwa mantiki hii ninaomba sana Nape na Ridhiwan waweke CV yao short hapa kama ya kwako halafu tufanye comparison!!!! You are a talent, Mnyika!
 
Mkuu hawa vijana wa Lumumba Project, wakiishiwa HOJA, uwa wanakuja na VIROJA, ili mradi siku isipite bila kupata buku 7 zao....

Mkuu muda huu tu nimeisoma Short brief ya mnyika kuna thred alianzisha. Alipata Div pt 7 akiwa na A 9. Alichaguliwa kidato cha 6 mkoani ila akaamua kwenda Tambaza na hapo alianza harakati mbalimbali kwa hiyo muda mwingi alichanganya shule na masomo na akapata Dv 2 Form 6. Alienda Chuo kusoma BBA ila walimwekea vikwazo kwa sababu ya uanaharakati wake. Hivyo hakumaliza ila ana mpango wa kuendelea. Ni jembe hili. Kina Rizimoja na Nape waweke na zao tuchambue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…