huyo wakili unganisha kichwa chake, cha mamake, cha baba yake, cha nape hawafikii hata robo ya akili za mnyika.Naomba kwa heshima na taadhima angalau wakili na mwanasheria ridhiwan kikwete naye atuambie amesimamia kesi ngapi na kushinda walau kesi moja tu tangu amehitimu sheria na hadi kutawazwa kuwa wakili.
Naomba kwa heshima na taadhima angalau wakili na mwanasheria ridhiwan kikwete naye atuambie amesimamia kesi ngapi na kushinda walau kesi moja tu tangu amehitimu sheria na hadi kutawazwa kuwa wakili.
Mwaka 2002 nilijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Es Salaam kusomea Bachelor in Business Administration (BBA) kwenye programu ya jioni; nilifanya hivyo kwa kuamua kwa kuwa nilitaka nisome huku nikiendelea na kazi. Mkuu wa Programu hiyo wakati huo alishangaa sana kwa umri wangu (wakati huo shahada hiyo walikuwa wakisoma wazee watu wazima wafanyakazi) na matokeo yangu (kwa kuwa yaliniruhusu kwenda kuingia kusoma katika mfumo wa kawaida). Nikamweleza akanielewa kwamba sitaki kusoma kama wanachuo wengine wa kawaida, uamuzi wangu huo ulikuwa na gharama kwa kuwatafsiri yake ni kuwa nilipaswa kujisomesha binafsi.
Kwa hiyo mimi ni kati ya wale ambao hatudaiwi na nchi hii kwa maana ya kwamba sijawahi kuchukua ruzuku wala kusomeshwa na Serikali hii inayoongozwa na CCM; nimesoma kwa jasho la wazazi wangu na langu binafsi. Kwa hiyo, nijibu tu kuhusu elimu yangu ya juu kwamba nimesoma miaka mitatu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (mtu aliyosoma kwa kiwango hicho kwenye baadhi ya vyuo duniani hupewa associate degree).
Binafsi nimependa maelezo aliyoyaandika ridhiwani ,big up ridhi1 kama ccm wote wangekuwa kama wewe tungefika mbali zaidi
Bwana Zogwale,naona uko obsessed na kitu kinachoitwa degree na Phd!
Nafikiri unareflect jamii ya kitanzania.Ndio maana wabunge wengi wana Phd fake,kama Nagu,Nchimbi,Makanga etc na akina Lukuvi eti wana digrii!!!!
Phd ya nini kwa Mnyika?Hosea ,Feleshi na Magufuli wana Phd za ukubwani toka UDSM ,angalia utumbo wanaofanya.
Kumbuka Bill Gate wa Microsoft ni drop out,na yule marehemu wa apple,Steve Jobs vilevile.
Cabinet ya sasa ina ma Phd wengi,lakini ni janga la taifa,incompetence ya hali ya juu.
Mnyika ni very intelligent guy,point 7 sio mchezo,wengi tuliosoma Form 4 tunajua ni nini.Nilikuwa na one ya point 14.Thubutu point 7
Mnyika na Slaa,hawa ni hazina katika taifa.Wanafuata liberation theology,kwamba umkomboe mtu kimawazo,kiuchumi,na kutoka ukoloni(mweusi) kwa better katika society.
Tangu mwaka 2012 na 2013, nimekuwa kwenye mtanziko mwingine na viongozi wangu ndani ya chama wanafahamu; niliomba kuachia majukumu mengine yote katika chama ili nibaki na ubunge peke yake niweze kuwatumikia wananchi wakati huo huo niendelee na masomo zaidi ya elimu ya juu katika fani inayoendana na kazi ninayoifanya ya sasa na matarajio yangu ya baadaye.
Hata hivyo, kwa mwelekeo huu wa Serikali na CCM leo nieleze tu kwamba nikifanya hivyo itakuwa faida zaidi kwa watawala tunapoelekea mwaka 2015; hivyo, nimeamua kama nilivyoamua mwaka 2005; kwamba nitarejea masomoni baada ya CCM kuondoka madarakani na Tanzania kupata Serikali mpya itakayoongozwa na CHADEMA. Kwa sasa nitaendelea kujisomea kila siku ninapopata wasaa kwa kuwa elimu haina mwisho.
JJ
I salute you Mnyika! Kuwa best student Dar nzima na kupata A tisa, only stiff-necked fools ndo watapinga!
Cc: chama
Kuna tofauti kubwa kati ya watu ambao siku zote wamekuwa wakisema ndio kwa mfumo uliopo bila kuhoji ili waonekane watiifu na wazalendo na wale watu wanaohoji kila palipo na utata lakini wakafikiriwa waasi! historia itajaji.Kujibizana na Nape ni kupoteza muda,kwanini ashihoji elimu ya pr.maji marefu au Deo sanga? Hii yote inaonyesha jinsi baadhi ya viongozi wa ccm walivyo kosa hoja!
You are damn fool! four iv results don`t mean a thing to me! The question is simple and clear did he graduate at UDSM? I know what I am talking about if you want to spin things around for the sake of pleasing yourself go ahead but the truth is your savior never graduated and he is just form vi graduate and nothing more!
You are damn fool! four iv results don`t mean a thing to me! The question is simple and clear did he graduate at UDSM? I know what I am talking about if you want to spin things around for the sake of pleasing yourself go ahead but the truth is your savior never graduated and he is just form vi graduate and nothing more!
.......nilipata daraja la kwanza; nikiwa na alama A katika masomo tisa........
Ni kweli kabisa. Na kwa waliopitia shule pia wanaelewa mwanafunzi anayepata A 9 form IV, na mwanafunzi huyohuyo akashindwa kupata C 3 form VI, ni mwizi wa mitihani. Na hasa kama A 9 zenyewe zilipatikana katika mwaka ambao wengine walifutiwa matokeo kwa wizi wa mitihani.