Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Mkuu, Mhesmiwa Mnyika is something more;- he is more than the known graduates who forged their o level and A level results, but somehow ended up as graduates, with some of them holding up positions in the government and yr beloved party.:- He is more than the CCM MPs who always like parrots chant "naunga mkono hoja mia kwa mia" and "ndioooh.":-He is more than the CCM MPs who always dose in the parliament without making any contribution, but yet collect the sitting allowences. I do not agree with you, referring him as a saviour, what I know he is a pain in the a_ _ for CCM.

kata jazz band! what a shame! I don't see anything special out of him; to me he is just an ordinary person; to say no in parliament does not mean anything; the oppositions are there because of that word NO; if they can't use that word that mean we don't need opposition!
 
Mkuu hapa hakuna ngonjera Mnyika kaleza kila kitu kuhusu elimu yake. Wewe ndio unaleta ngonjera, soma vizuri habari yote. Inawezekana hukuisoma yote.


Hizo ni ngonjera tu; kama ilipigwa bao sema tu ulipigwa bao hizi hadithi za kudai ooh nilelewa nikaanguka ni kutafuta faraja tu kwani madhara ya kunywa pombe kupita kiasi si yanajulikana! sasa huyu jamaa yenu anataka kujifananisha kielimu na watu waliosoma kitu ambacho kwasisi tuliosoma hatukioni yeye na ajifananishe na watu wa kidato cha sita haya mambo ya elimu ya vyuo vikuu yamemzidi umri!
 
Chifu, umesema kila chuo kina utaratibu wake, halafu kisha unasema mara nyingi inakuwa miaka 3!! Huoni kama unajikanganya? Je, kama chuo kina utaratibu wa zaidi ya miaka 3?!? Hivi ulisikia yule jamaa wa Marekani aliyerudi kumalizia PhD yake baada ya miaka 40?!?



kamanda eleweni ya kwamba mh. mnyika kasoma mauwa na tambaza na hata UDSM kasoma kwa miaka miwili na kwa bahati mbaya akafukuzwa chuo kama wengine walivyofukuzwa. kwa iyo mnachojadili hakina mantiki, anachotakiwa ni yeye kama alivyoisha sema atatafuta chuo na kwenda kusoma. niliisha muhoji na alikili ila akasema majukum ya chama bado yamembana kama nasema huongo naomba ajibu by prof.
 
Hizo ni ngonjera tu; kama ilipigwa bao sema tu ulipigwa bao hizi hadithi za kudai ooh nilelewa nikaanguka ni kutafuta faraja tu kwani madhara ya kunywa pombe kupita kiasi si yanajulikana! sasa huyu jamaa yenu anataka kujifananisha kielimu na watu waliosoma kitu ambacho kwasisi tuliosoma hatukioni yeye na ajifananishe na watu wa kidato cha sita haya mambo ya elimu ya vyuo vikuu yamemzidi umri!

Mnyika anaongoza jimbo lenye wakazi wengi kuliko jimbo lolote lile,na kazi yake inapimika. Usomi wako hajalisaidia taifa hili kwaiyo wacha sanaa yako.
 
Hizo ni ngonjera tu; kama ilipigwa bao sema tu ulipigwa bao hizi hadithi za kudai ooh nilelewa nikaanguka ni kutafuta faraja tu kwani madhara ya kunywa pombe kupita kiasi si yanajulikana! sasa huyu jamaa yenu anataka kujifananisha kielimu na watu waliosoma kitu ambacho kwasisi tuliosoma hatukioni yeye na ajifananishe na watu wa kidato cha sita haya mambo ya elimu ya vyuo vikuu yamemzidi umri!
chama.
Sikia ndugu yangu. kuna watu kama kina Hamisi Mtundi aliye muibia mama wa Kiholanzi huku akiwa pia amekimbbia na mkopo aliokopa. hivi huyu kama elimu yake niya kidato cha nne inamsaidiaje wakati kwa sheria ya dini yake alitakiwa awe amekatwa mkono?!
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli kamanda umefunguka kwa kuweka wazi matokeo yako na kisomo chako hapa ili kuwalima ulimi wale waliokuwa wanaleta chokochoko zao endelea hivyo hivyo kamanda wala usirudi nyuma

vilevile tunawaomba akina Nape na Ridhwan nao waweke cv zao hapa kwani ndo waliokuwa wanakutuhumu kuhusu elimu yako nao tuone walifanyaje kunako darasani
 
chama.
Sikia ndugu yangu. kuna watu kama kina Hamisi Mtundi aliye muibia mama wa Kiholanzi huku akiwa pia amekimbbia na mkopo aliokopa. hivi huyu kama elimu yake niya kidato cha nne inamsaidiaje wakati kwa sheria ya dini yake alitakiwa awe amekatwa mkono?!

Hahaaahaa mkuu, umeliua hili tapele la kimataifa,

Chama njoo jitete, mama wakiholanzi anakutafuta kwa tochi mchana, pia mkeo Alice analia njaa huku, duka la nguo ulilomwachia mkeo pale Banana wadogo zako wamemnyang'anya,

Kwaujumla mkeo amekuwa pombe za ngomani tu kila mlevi anajichotea,
 
Last edited by a moderator:
Haya Nape na wewe tuwekee matokeo ya elimu yako ya awali yaani Drs. la 7, Form IV, na Form VI hapa jamvini. Tuanzie hapo kwanza.

Vinginevyo tukisema huko vyuo vikuu uliingia kwa favour fulani tutakuwa hatukosei. Mnyika kwa matokeo yake anaweza kwenda chuo kikuu chochote dunani hata baada ya miaka 20 ijayo. Tunaomba grades zako tujiridhishe jinsi ulivyoingia Chuo. Hilo tu kwa sasa mheshimiwa.
Nape hawezi kurudi hapa. Unadhani yeye hajui alivyosomasoma !?
 
wasome wanavyosoma kama hawawezi mtumikia mtazania kwa haki.haina maana yeyete kwetu.
 
JJ, A.9 si mchezo. Ndo maana jamaa jembe! Nape aseme alikuwa na A.B au C ngapi f4?
 
chama.
Sikia ndugu yangu. kuna watu kama kina Hamisi Mtundi aliye muibia mama wa Kiholanzi huku akiwa pia amekimbbia na mkopo aliokopa. hivi huyu kama elimu yake niya kidato cha nne inamsaidiaje wakati kwa sheria ya dini yake alitakiwa awe amekatwa mkono?!
Mohamedi Mtoi
Hapa suala ni la huyu msomi wenu Mnyika; tatizo makamanda wengi shule za kata kwedikwazu sasa mkisikia mtu kasema amesoma UDSM kwenu tayari amekuwa msomi; huyu mtu hajahitimu ni form six tu hana hiyo elimu ya chuo kikuu; hivi kamanda wangu BBA ikushinde kumaliza halafu unataka kujinadi mbele za watu; BBA wanasoma wanawake wajazito; hiko cheti mbele ya wanaume hukitoi ni afadhali utoe cheti cha chuo cha ualimu Korogwe tutakuheshimu; kamanda unataka kumhukumu Hamisi Mutindi simfahamu wala sijamsikia; sasa kabla hujamhukumu hebu shahadia kwa mola wako kwamba wewe Mohamedi Mtoi) hujasema uongo wala kuzini tuone kama na wewe utasalimika na hukumu ya kidini!
cc Ritz
cc Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Mheshimiwa dogo John, ni wajinga tu ndio wanaohoji elimu yako. wajuaje wote salute kwako. Watu wa kawaida kabisa kama mimi tukisoma raia mwema na kuchungulia hansard japo si kwa sana tunakutambua wewe ni nani. Na kwakuwa uongozi ni kuhudimia na kuwasikiliz wananchi, leo hii wakiitwa wabunge wenzio ambao ni maprofesa halafu tukawaweka pamoja kwaajili ya majadala usijeshangaa ukabaki peke yako. wote watakuwa na uzuru
 
Hahaaahaa mkuu, umeliua hili tapele la kimataifa,

Chama njoo jitete, mama wakiholanzi anakutafuta kwa tochi mchana, pia mkeo Alice analia njaa huku, duka la nguo ulilomwachia mkeo pale Banana wadogo zako wamemnyang'anya,

Kwaujumla mkeo amekuwa pombe za ngomani tu kila mlevi anajichotea,

Kamanda Yericko Nyerere
Unahangaika sana kumuuzia kesi Chama; nataka ufahamu kitu kimoja wakati naondoka bongo mama yericko na baba yericko walikuwa ndio kwanza wachumba hata kupigana denda walikuwa wanaibia kwa maana hiyo hata hilo wazo la kukuzaa wewe lilikuwa halipo; nadhani mpaka hapo utakuwa umeshapata akili kuwa Chama na Hamisi Mutindi ni mbingu na ardhi


cc Ritz
cc Mohamedi Mtoi
 
Last edited by a moderator:
nani anamjua captain sankara? raisi wa kwanza wa bukinafaso? hata darasa la kwanza hakuwahi kwenda lakini tafuta historia yake maprofesa hawakumweza.
nani kakwambia elimu ni uongozi? basi tungewaachia nchi hii maprofesa na siyo hao wenye phd without masters.
 
Mheshimiwa dogo John, ni wajinga tu ndio wanaohoji elimu yako. wajuaje wote salute kwako. Watu wa kawaida kabisa kama mimi tukisoma raia mwema na kuchungulia hansard japo si kwa sana tunakutambua wewe ni nani. Na kwakuwa uongozi ni kuhudimia na kuwasikiliz wananchi, leo hii wakiitwa wabunge wenzio ambao ni maprofesa halafu tukawaweka pamoja kwaajili ya majadala usijeshangaa ukabaki peke yako. wote watakuwa na uzuru

wewe utakuwa ndio mjinga wa mwisho mtu anajidai ana elimu ya chuo kikuu wakati hakumaliza; ulitaka tusihoji? yeye angesema tu amepita UDSM ngoma ikawa nzito akaamua kutafuta ustaarabu mwingine; hivi mnataka tupoteze muda kujadili BBA? Afadhali hata ingekuwa Pharmacy; medical; Engineering au Bcomm; na huo ubunge kuna kitu gani hasa cha maana alichofanya mpaka sasa hivi naona Ubungo ipo kama ilivyo matatizo ni yaleyale; kama ushujaa ni kutoa kauli za kejeli bungeni basi kama hoja ni hiyo basi mashujaa watakuwa wengi leo mtu akimtusi baba yako kwa kumwita shoga naye atakuwa shujaa!
 
Mohamedi Mtoi
Hapa suala ni la huyu msomi wenu Mnyika; tatizo makamanda wengi shule za kata kwedikwazu sasa mkisikia mtu kasema amesoma UDSM kwenu tayari amekuwa msomi; huyu mtu hajahitimu ni form six tu hana hiyo elimu ya chuo kikuu; hivi kamanda wangu BBA ikushinde kumaliza halafu unataka kujinadi mbele za watu; BBA wanasoma wanawake wajazito; hiko cheti mbele ya wanaume hukitoi ni afadhali utoe cheti cha chuo cha ualimu Korogwe tutakuheshimu; kamanda unataka kumhukumu Hamisi Mutindi simfahamu wala sijamsikia; sasa kabla hujamhukumu hebu shahadia kwa mola wako kwamba wewe Mohamedi Mtoi) hujasema uongo wala kuzini tuone kama na wewe utasalimika na hukumu ya kidini!
cc Ritz
cc Yericko Nyerere
chama

Naamini umemuelewa Mnyika sema tu umeamua kujitoa fahamu kama kawaida yako! Naamini pia unatambua uwezo wa kamanda Mnyika ndani na nje ya bunge. Bila shaka unatambua kuwa huwezi kumlinganisha Mnyika na mtu kama Prof Maghembe kwenye kujenga hoja na kusimamia anacho kiamini, naamini pia unajua kuwa huwezi kumlinganisha Mnyika hata na Dr aliye watukana wabunge wa ccm wa dsm, naamini unajua kuwa uwezo wa wakili Rizmoko haumfiki JJ na hana kesi moja japo ya wizi wa kuku aliyo wahi kushinda.

Naamini na wewe unajua sema hutaki kukubali kuwa Mnyika ni miongoni mwa hazina kubwa kwenye chama chetu! Na unajua kuwa Mnyika ni sawa na wabunge 10 wa ccm (wachague mwenyewe), na unajua kuwa Mnyika kwenye zile A tisa zake akikupa 3 ili upendezeshe cheti chako bado atabakiwa na Div 1 kali.

Anasema kasoma miaka 3 chuo kikuu lakini haja graduate kutokana na zegwe la ma ccm, mbona hujishughulishi kuju aliwekewa zegwe hilo kwa faida ya nani?!

Mfikishie salamu Nape, Rizmoko na Hamisi mutundi uwaambie mbunge wa ubungo yuko mikoani anajenga chama.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom