chama
Naamini umemuelewa Mnyika sema tu umeamua kujitoa fahamu kama kawaida yako! Naamini pia unatambua uwezo wa kamanda Mnyika ndani na nje ya bunge. Bila shaka unatambua kuwa huwezi kumlinganisha Mnyika na mtu kama Prof Maghembe kwenye kujenga hoja na kusimamia anacho kiamini, naamini pia unajua kuwa huwezi kumlinganisha Mnyika hata na Dr aliye watukana wabunge wa ccm wa dsm, naamini unajua kuwa uwezo wa wakili Rizmoko haumfiki JJ na hana kesi moja japo ya wizi wa kuku aliyo wahi kushinda.
Naamini na wewe unajua sema hutaki kukubali kuwa Mnyika ni miongoni mwa hazina kubwa kwenye chama chetu! Na unajua kuwa Mnyika ni sawa na wabunge 10 wa ccm (wachague mwenyewe), na unajua kuwa Mnyika kwenye zile A tisa zake akikupa 3 ili upendezeshe cheti chako bado atabakiwa na Div 1 kali.
Anasema kasoma miaka 3 chuo kikuu lakini haja graduate kutokana na zegwe la ma ccm, mbona hujishughulishi kuju aliwekewa zegwe hilo kwa faida ya nani?!
Mfikishie salamu Nape, Rizmoko na Hamisi mutundi uwaambie mbunge wa ubungo yuko mikoani anajenga
chama.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.