Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma


Mkuu it's very true that you don't see anything, because you are blind being led by the blind. Those who have eyes do see. May you be blessed to have the eyes to see, some day. Endelea kufurahia ndioooh.
 


Hebu tuanze kuangalia impact au level ya uelewa. Na ningependa ujaribu kuchambua tofauti za watu wenye vyeti versus Mnyika kwa kuzingatia criteria hizi:

1. Uwezo wa kujenga na kusimamia hoja
2. Uwezo wa kusoma, kuelewa na kuapply alichokisoma. Mfano, Katiba, kanuni za bunge n.k.
3. General IQ; including uwezo wa kukumbuka mambo muhimu katika shughuli zake kama mbunge
4. Uwezo wa kusimamia maslahi ya wananchi wa jimbo lake
5. Uwezo wa kufanya research kuhusu mada fulani, kuiweka katika hali ya kueleweka hata na mtoto mdogo, na kuitumia katika kujenga hoja za kuleta manufaa kwa nchi...

Haya; now, naomba tuangalie tofauti ya Mnyika na hawa wenye vyeti kama Mlugo. Hili haliangalii uchama tu; as kuna watu ambao wanakubalika sana na wako CCM.

Pia kama umekwenda shule utaweza kuelewa maana ya:

1. Kuwa mwanafunzi bora wa mkoa wenye watoto wanaosoma sana kama Dar es Salaam. Na miaka hiyo kulikuwa na ushindani mkubwa.
2. Kupata A tisa kwenye NECTA kuna maana gani. Na nisiende mbali sana; tuweke hata A tatu tu, kwani tisa ni nyingi sana.
 
Mi nataka elimu ya Nape maana elimu ya kata mimi imenimalizia muda na pesa nimebaki kuangalia elimu za watu. Hongera sana Kamanda Mnyika.
 

Upo sahihi mkuu, mimi ni mjinga wa mwisho na wewe ni mjinga wa kwanza. kwa mfano unaonesha wazi kuwa hata majukumu ya mbunge ni yapi. Je tukikuuliza tofauti kati ya serikali kuu na serikali za mitaa katika kutoa huduma za jamii utabaki umeduwaa. Na naamini kabisa unajiita msomi halafu mpaka dunia ya leo unaamini kuwa kuna soma gumu kuliko lingine? Duh, nipm nianze kukupiga shule ya uraia na falsafa ya elimu.
 
Sie sote hatujaelimika ndio maana tupo nyuma ya keyboard except wale verified user.
 
Mohamedi Mtoi
Mnyika ni nguli huko kwenu; yeye ameshindwa kusoma na aseme moja asitafute mchawi; anaweza kuwa sawa na wabunge wa viti maalum; sijauona umahiri wa Mnyika mnaojivunia nao; kamanda hizo A na akupe wewe usiokwenda shule mimi nina elimu yangu ya nguvu; jamani BBA nayo mgogoro? kweli Chadema kuna watu wana vumbi la macho! Kamanda nilikuuliza wewe ni mkweli kiasi gani ili nawe tukupe hukmu za kidini kama ulivyompa Hamisi Mutindi mbona kimya????????
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:

Unawazimu sana; kuna mkoa unaongoza kwa kununua mitihani kama Dar? huyo kama angekuwa nguli basi angetoka na div 1 ya point 3; A level; hebu niwekee hiyo research paper aliyofanya Mnyika; Mlugo ni zaidi ya Mnyika anagalu yeye Mlugo amemaliza elimu yake ya chuo kikuu; Mnyika kama angekuwa na IQ ya kutosha angemaliza chuo hilo nalo unataka tuwafundishe?
 
Mkuu it's very true that you don't see anything, because you are blind being led by the blind. Those who have eyes do see. May you be blessed to have the eyes to see, some day. Endelea kufurahia ndioooh.

I see things beyond your reach that's why I don't dance songs played by fools!
 

sijui niendelee kukuita mjinga au nikuite juha utachagua mwenyewe; wewe unifundishe mimi majukumu ya mbunge au majukumu ya serikali kuu na serikali za mitaa? mimi msomi nimkwenda shule na napiga shule nakwambia hiyo BBA wanasoma wanawake waja wazito wanaume nguli wana masomo yao!
 

kweli lumumba project kazi mnaiweza hadi saa 9 nyie bado mlkuwa mnampinga mnyika tu.
pesa inabidi iongezwe buku7 ndogo sana.
 
kweli lumumba project kazi mnaiweza hadi saa 9 nyie bado mlkuwa mnampinga mnyika tu.
pesa inabidi iongezwe buku7 ndogo sana.

Kamanda hapa hatumpingi Mnyika tunawelemisha nyie wajinga wachache ambao mpompo tu kihasarahasara yaani mmeshindwa kutumia hata chembe moja ya bongo zenu!
 
Kamanda hapa hatumpingi Mnyika tunawelemisha nyie wajinga wachache ambao mpompo tu kihasarahasara yaani mmeshindwa kutumia hata chembe moja ya bongo zenu!
Mkuu chama,

Kukata mzizi wa fitina kama John Mnyika, ni msomi ana BA/MA/PhD, au na maneno matupu.

Nimecheka sana anasema ataendelea kusoma siku Chadema watakapochukuwa nchi.

Kwanza anatakiwa kufahamu hawezi tena kurudi bungeni labda kwa viti maalum.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,

Kukata mzizi wa fitina kama John Mnyika, ni msomi ana BA/MA/PhD, au maneno matupu.

mkuu Ritz
Hapo ndipo utakapona ni jinsi gani vijana wa Bavicha wana akili za kushikiwa; Mnyika hana chochote ni maneno mengi na ngonjera nyingi yaani jamaa hana cheti cha chuo cha ualimu halafu anataka kudai yeye kasoma! Bavicha ni janga!
 
Last edited by a moderator:
mkuu Ritz
Hapo ndipo utakapona ni jinsi gani vijana wa Bavicha wana akili za kushikiwa; Mnyika hana chochote ni maneno mengi na ngonjera nyingi yaani jamaa hana cheti cha chuo cha ualimu halafu anataka kudai yeye kasoma! Bavicha ni janga!
Mkuu chama,

Msome vizuri kwenye ili bandiko lake ndiyo utajua upuuzi wa John Mnyika,

Anajisifia kuwa alikuwa mwanafunzi bora Dar es Salaam nzima, waliomchagua ndiyo hao hao anawaita wapuuzi.

John Mnyika, anaulizwa elezea elimu yako anasema amesoma Chuo Kikuu miaka mitatu, ananikumbusha siku moja naangalia Fox News alikuwa anahojiwa Bill Gates kuhusu elimu yake alisema wazi sikumaliza chuo.

Hakuna sehemu aliyosema nimesoma Harvard Univesity miaka mitatu.

Kuna upuuzi mwingi sana kaandika Mnyika.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ritz
Umeua kabisa ikiwa Bill Gates kaweka wazi hakumaliza chuo huyu Mnyika anaficha kitu gani au anataka kujifananisha na nani? Hapo ndio nashindwa kuelewa watu wanakwenda chuo kikuu kusoma na kuhitimu walichosoma sasa kama kupita nayo ni sifa basi wangejinadi wengi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,

Kila siku povu linamtoka bungeni kwa kauli yake kuwa serikali ya kipuu na rais dhihifu.

Halafu huyo huyo anajisifia kuwa alikuwa mwanafunzi bora Dar es Salaam, aliyechaguliwa na serikali ya kipuuzi iliyokuwa chini ya CCM.

Halafu huyo huyo anasema alitaka kufelishwa na CCM.
 
Last edited by a moderator:
Duuuhhh kumbe dogo hatajagraduate hata bachelor degree alafu hako kamfumo kaassociate degree mnakapatia wapi dogo ww tumia lugha vizuri. Ukiona umeshidwa kudaganya umma japokuwa jamii yako ilikuwa inaona unaenda chuo kila cku ww sema nilidrop chuo hawatakuelewa kuliko sasa hivi kuleta mambo mbayo hayapo kabisa Tanzania yetu ya associate degree labda nimuulize mwl wangu Prof Mkandala hizi associate degree anazitolea ofisini kwake tu au kwa politician.
Haya Nape na ww leta hapa CV yako tuone hizo associate degree zako na PHD za kupeana majukuwani etimdai Dr wa heshima bila shida hivi nyinyi politician hamjui bila wataalam na wasomi hatufiki mmekalia maneno tu. Mnanikela wananchi maisha magumu, vijana wanagraduate degree original anashidwa wapa nafasi mnaendelea kuwekana wenyewe tu na associate degree zenu hizo.
Haya waheshimiwa wetu lakini mlete CV hapa sio polojo polojo. Ridhi najua umegraduate LLB na umepita School of law lakini na ww leta education background yako hapa unaweza ukawa uliluka madalasa maana hamchelewi.
 

nimekuelewa msomi, mnyika hana akili na wanawake wenye mimba automatically wanakuwa hawana akili na hata kama alikuwa anasoma bsc ya military science anahamishiwa bba. Na aliyekuwa mwaka wa tano pale mhimbili akisomea internal medicine akipata mimba anapelekwa bibi. Hongera sana msomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…