Hata ungekuwa na elimu ya darasa la saba, maelezo uliyoyatoa hapa yanaonyesha una Masters ya ufahamu na wewe ni kichwa!! Hivyo huyo NAPE na RIZWANI kama vipi wakazamishe vichwa vyao kwenye mchanga kwani ni vilaza wa kutupwa!!. Elimu sio Cheti ni ufahamu na uwezo wa kufumbua mambo wa mtu.namaliza kwa mlinganyo huu 200NAPE + 1000RIZ <= 1MNYIKA!!
Mnyika nyoosha maneno maelezo marefu kama reli ya kati.
Mwaka 2002 nilijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Es Salaam kusomea "Bachelor in Business Administration (BBA) kwenye programu ya jioni; nilifanya hivyo kwa kuamua kwa kuwa nilitaka nisome huku nikiendelea na kazi. Mkuu wa Programu hiyo wakati huo alishangaa sana kwa umri wangu (wakati huo shahada hiyo walikuwa wakisoma wazee watu wazima wafanyakazi) na matokeo yangu (kwa kuwa yaliniruhusu kwenda kuingia kusoma katika mfumo wa kawaida). Nikamweleza akanielewa kwamba sitaki kusoma kama wanachuo wengine wa kawaida, uamuzi wangu huo ulikuwa na gharama kwa kuwatafsiri yake ni kuwa nilipaswa kujisomesha binafsi.
Kwa hiyo mimi ni kati ya wale ambao hatudaiwi na nchi hii kwa maana ya kwamba sijawahi kuchukua ruzuku wala kusomeshwa na Serikali hii inayoongozwa na CCM; nimesoma kwa jasho la wazazi wangu na langu binafsi. Kwa hiyo, nijibu tu kuhusu elimu yangu ya juu kwamba nimesoma miaka mitatu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (mtu aliyosoma kwa kiwango hicho kwenye baadhi ya vyuo duniani hupewa associate degree).
Mwaka 2004 ikaanza misukosuko mbalimbali, mwaka huo ulikuwa ndio unatungwa muswada wa Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, haya matatizo yanayotokea leo niliyatabiri wakati huo. Niliwasilisha mada kwa wanachuo kwenye ukumbi wa Nkurumah kuchambua udhaifu wa muswada huo na kupata maoni ya wanafunzi kuhusu marekebisho yanayohitajika; wanachuo wakapitisha azimio la kwamba muswada huo upingwe.
JJ
Huya riz1 hana uwezo wa kusimama mahakani, muhuri alipata kwa jina la baba yake.wakuu huyu Riz 1 hivi kuna kesi aliwakusimami au ni wakili kilaza wanunuaji wa mitihani na kudesa Riz hajui kitu aje hapa Mlimani tufanye naye paper za DrMvungi za first year akipa 50 mimi naairisha course.
Kwanza Riziwani aje jamvini aelezee alipodisco mlimani alifanyaje akaendelea na masomo?
Jamani msipoteze muda kwenye haya mambo.
CCM ni zaidi ya problem.
script nzuri mwandishi, ila nahisi kama kuna sehemu unajichanganya, sielewi unaposema kuwa ulichaguliwa kwenda shule ya Ilboru na ukaamua kutokwenda mi naamini uliamua kutokwenda kwa kuwa ulipenda mfumo wa elimu wa kibepari, ndio mana ukachagua kwenda hiyo saint sijui nin mwenyewe umeitaja, lakini pia kwa mshangao mkubwa umekuwa ukisema haukusomeshwa na serekali ya CCM bali ni nguvu zako na wazazi wako, vizuri ila nasikitika tu hata mara moja hujasema ni kazi gani ulikuwa unafanya, au ndo hizo unazoziita harakati za mabadiliko zilikua zinamshahara wa kukuezesha kujisomesha?
Alienda TAMBAZA shule ya gvt ,acha ukilaz.a soma uelewe ndio uanze uropokaji yako..script nzuri mwandishi, ila nahisi kama kuna sehemu unajichanganya, sielewi unaposema kuwa ulichaguliwa kwenda shule ya Ilboru na ukaamua kutokwenda mi naamini uliamua kutokwenda kwa kuwa ulipenda mfumo wa elimu wa kibepari, ndio mana ukachagua kwenda hiyo saint sijui nin mwenyewe umeitaja, lakini pia kwa mshangao mkubwa umekuwa ukisema haukusomeshwa na serekali ya CCM bali ni nguvu zako na wazazi wako, vizuri ila nasikitika tu hata mara moja hujasema ni kazi gani ulikuwa unafanya, au ndo hizo unazoziita harakati za mabadiliko zilikua zinamshahara wa kukuezesha kujisomesha?
mnyika hana degree - confirmed. maneno mengi yote hayo ya nini.
ila kipeperushi chako cha 2005 pale ubungo ulitudanganya wengi.
pia mnyika hukupata daraja la pili kidato cha sita. acha kuendelea kudanganya mtu wa seminari.
wanasiasa wetu waongooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Wewe ni Mpuuzi kama Wa.puuzi wengine
Mnyika Mtoto wa Juzi tu unasema anaficha elimu yake? Kwani Mnyika amesomea Mbinguni mpaka watu wawe hawaijui elimu yake hadi apande Jukwaani. Mnyika akipanda Jukwaani kujibu huu Upuuzi atakuwa M.puuzi kuliko wewe. Mnyika
1. Kamaliza Darasa la saba mwaka 1994. Na Unajua Matokeo yake
2. Kamaliza Form Four mwaka 1998. Na Unajua Matokeo yake
3. Mnyika Kamaliza Form Six mwaka 2001. Na Unajua Matokea yake
4. Mnyika kamaliza BBA Mlimani (Hakuwa anasomea Mbinguni) Na Unajua Matokeo.
Kuuliza Maswali ambayo majibu yake unayajua ni U.puuzi
mnyika hana degree - confirmed. maneno mengi yote hayo ya nini.
ila kipeperushi chako cha 2005 pale ubungo ulitudanganya wengi.
pia mnyika hukupata daraja la pili kidato cha sita. acha kuendelea kudanganya mtu wa seminari.
wanasiasa wetu waongooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo