Majibu kwa thread, "Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?"

Shida unapanick waislamu wote mkiona swali gumu mna activate panick mode

Nani mwenye uwezo WA kukung'oa nywele zote mwilini , kukupaka Ina na kukupaka wanja na akufanye uwe na miaka 33 ?

"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
Hakuna swali gumu hapo ukitoa hoja uwe na ushahidi na unacho kisema jambo liko wazi
Umesema ni Allah ndie atakae fanya hivyo lete andiko ili hoja yako iwe na nguvu,
Andiko huna sasa mimi nikujibu kitu ambacho huna ushahidi nacho.

Alafu hadithi haija sema kua tutang'olewa nywele soma hadithi vizuri alafu uliza kilichomo kwenye hadithi.
Hua mna ropoka tu ifikie wakati muulize kutokana na kinacho semwa kwenye andiko
Au mume wenu haja wafundisha namna ya kuuliza?
Hoja yako itabaki kua dhaifu mpaka utakapo leta andiko

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wacha kudanganya mbona kwenye biblia haikuandikwa kuwa tumetumia mume Kama mamlaka ?

Wewe uende kwa mume wako anakuita unarukaruka Kama mwali?
Kwa Nini usitumie BHN unakazana na SRUV

Yeremia 3:14 BHN “Rudini, enyi watoto msio na uaminifu, maana, mimi ndimi Bwana wenu...
 
Usituletee unavyotaka wewe , kumkimbia mume wako anayekuita

Nenda kwa mumeo haraka usiturushie vichwa
 
NEnda kwa mumeo anakuita usiogope
Uzuri Kuna wafuatiliaji wanaona wazi waislamu mnakwepa swali

Kwa Nini utapakwa wanja mtoto wa kiume

"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
 
Uzuri Kuna wafuatiliaji wanaona wazi waislamu mnakwepa swali

Kwa Nini utapakwa wanja mtoto wa kiume

"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545

Unayekwepa ni wewe unayemkimbia mume wako anayekuita.
Unafikiri kwa kutuletea hayo utamkimbia mumeo?😝😝
 
Nimeshakujibu zaidi ya mara tatu
Ila swali langu unalikwepa
Kwa Nini utapakwa wanja mtoto wa kiume
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
 
Hakuna swali gumu hapo ukitoa hoja uwe na ushahidi na unacho kisema jambo liko wazi
Umesema ni Allah ndie atakae fanya hivyo lete andiko ili hoja yako iwe na nguvu,
Sasa urudi ujibu nataka kujua kwa nini mtoto wa kiume utapakwa wanja , ayo mengine ni wewe unajaribu kutoroka swali la msingi

Kwa nini mwanaume utapakwa wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
 
Alafu hadithi haija sema kua tutang'olewa nywele soma hadithi vizuri alafu uliza kilichomo kwenye hadithi.
Hua mna ropoka tu ifikie wakati muulize kutokana na kinacho semwa kwenye andiko
Ndio nafasi yako ya kuelezea nini kinasemwa kwenye andiko
Utatolewa nywele zote za mwilini, utapakwa na wanja
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
 
Sasa urudi ujibu nataka kujua kwa nini mtoto wa kiume utapakwa wanja , ayo mengine ni wewe unajaribu kutoroka swali la msingi

Kwa nini mwanaume utapakwa wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545

Sasa uwende kwa mume wako usituletee fujo
 
Ndio nafasi yako ya kuelezea nini kinasemwa kwenye andiko
Utatolewa nywele zote za mwilini, utapakwa na wanja
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
Wanakucheka unaandika kisicho ongelewa muulize vizuri mumeo huenda akawa anajua

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wanakucheka unaandika kisicho ongelewa
Kwa nini mwanaume utapakwa wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
 
Andiko linalosema ni Allah Kama
Sasa jibu swali

Sasa kama nimekuweza kila pande nishindwe hapo tulia kwanza nikucheke mzee wa kuunga unga bila ushahidi. Na mwambie mumeo kama ana washauri kuandika kisicho ongelewa sasa mme patikana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama nimekuweza kila pande nishindwe hapo tulia kwanza nikucheke mzee wa kuunga unga bila ushahidi. Na mwambie mumeo kama ana washauri kuandika kisicho ongelewa sasa mme patikana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Cheka ukimaliza jibu swali, chekacheka mtoto wa kiume na mwisho umeambiwa utapakwa wanja

Kwa nini mwanaume utapakwa wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
 
Cheka ukimaliza jibu swali, chekacheka mtoto wa kiume na mwisho umeambiwa utapakwa wanja

Kwa nini mwanaume utapakwa wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
Haya niendelee kukutoa ukoko kama kawaida yangu. Andiko gani lina sema tutapakwa wanja? kama lugha hujui muulize mume wenu yani hapa hakikisha unazingatia kinacho ongelewa kwenye hadithi au aya kinyume na hapo nakutoa ukoko kwanza mpaka ukiisha ndio tunaendelea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haya niendelee kukutoa ukoko kama kawaida yangu. Andiko gani lina sema tutapakwa wanja?
Hautoi majibu ila unauliza majibu tuliza akili

Kwa nini mwanaume utapakwa wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
 
Haya niendelee kukutoa ukoko kama kawaida yangu. Andiko gani lina sema tutapakwa wanja?
Swali lingine

Kwa nini utanyolewa nywele zote mwili mzima?

Back
Top Bottom