professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Hakuna swali gumu hapo ukitoa hoja uwe na ushahidi na unacho kisema jambo liko waziShida unapanick waislamu wote mkiona swali gumu mna activate panick mode
Nani mwenye uwezo WA kukung'oa nywele zote mwilini , kukupaka Ina na kukupaka wanja na akufanye uwe na miaka 33 ?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
Umesema ni Allah ndie atakae fanya hivyo lete andiko ili hoja yako iwe na nguvu,
Andiko huna sasa mimi nikujibu kitu ambacho huna ushahidi nacho.
Alafu hadithi haija sema kua tutang'olewa nywele soma hadithi vizuri alafu uliza kilichomo kwenye hadithi.
Hua mna ropoka tu ifikie wakati muulize kutokana na kinacho semwa kwenye andiko
Au mume wenu haja wafundisha namna ya kuuliza?
Hoja yako itabaki kua dhaifu mpaka utakapo leta andiko
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app