Majibu kwa thread, "Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?"

Majibu kwa thread, "Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?"

Uwa sifungi mjadala mpaka mkiri , mmeshakiri kupakwa wanja ,
Who is NEXT!
Kwani huyo mume wako ulimpakia Wanja,? Usisahau na manukato , umeamua kumfuata wacha ubishi . Amekuita tulia, nenda ukampe haki yake😝😝😝
 
Kwani huyo mume wako ulimpakia Wanja,? Usisahau na manukato , umeamua kumfuata wacha ubishi . Amekuita tulia, nenda ukampe haki yake😝😝😝
Usijichekeshe , kijana tumeshafunga mjadala wa kupakwa wanja
 
Usijichekeshe , kijana tumeshafunga mjadala wa kupakwa wanja
Hujaenda tu kwa mume wenu ? Au unasubiri kugeuzwa sangara ?
Ulimkubali mwenyewe Sasa unatuwekea kelele Za nini ?
 
Jifunze kujibu hoja
Allah anasema ukifika peponi anakunyoa nywele zote , atakupaka mafuta na kukupaka wanja mtoto wa kiume , nataka kujua kwa nini mwanaume upakwe wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
Mngezitunza bikra ili mkienda huko jamaa akajipasulie mwenyewe!Lakini sasa mnafokolewa huku duniani huku papa wenu akidai kufokolewa kwenu siyo hatia wala kosa![emoji848][emoji848][emoji848]

Mkuu Mokiti! Fanya muhifadhie mali yake jamaa akajipasulie.

UFUNUO WA YOHANA 19:6-7
6 Kisha nikasikia kitu kama sauti ya umati mkubwa wa watu na sauti ya maji mengi na ya ngurumo kubwa, ikisema, “Haleluya! Maana Bwana Mungu wetu Mwenye Uwezo ni Mfalme! 7 Tufurahi na kushangilia; tumtukuze, kwani wakati wa arusi ya Mwanakondoo umefika, na bibi arusi yuko tayari. 8 Amepewa uwezo wa kujivalia nguo ya kitani safi, iliyotakata na yenye kung'aa!”
 
Mngezitunza bikra ili mkienda huko jamaa akajipasulie mwenyewe!Lakini sasa mnafokolewa huku duniani huku papa wenu akidai kufokolewa kwenu siyo hatia
Tukana rukaruka , ndugu zako wameshahitimisha kwamba watanyolewa nywele zote mwili mzima na watapakwa wanja , wameshakiri humu mbele za watu
 
Hii sentensi imenifanya nikuone bado huijui biblia au basi haupo makini..rahabu wa solomoni si rahabu wa kipindi cha joshua ni ni watu wawili tofauti.

Kosa pia umelifanya hapo ni hilohilo..

Haikuwezekana kuficha tendo la hila la mfalme, na kashfa ikazuka huko Yerusalemu. Nabii Nathani aliilaani waziwazi nyumba ya Daudi, akiilaani kwa mapigano ya jamaa. Kwa kuongezea, alitabiri kuwa mtoto aliyezaliwa na Bathsheba atakufa. Na ndivyo ilivyotokea. Ndipo Daudi akatubu mbele za Bwana, na Nathani akatangaza kuwa amesamehewa. Bathsheba mrembo alizaa mtoto wa pili wa kiume aliyeitwa Sulemani, au Shlomo, kutoka kwa neno "shalom", ambayo ni, amani.

Solomani alipatikana baada ya toba kubwa na ndio maana ya jina la suleimani ni amani na ndie mfalme ambaye alikula bata kubwa bila kuingia vitani hata mara moja kwenye historia ya watu wa israel.
Gavana hupo hapo. Cheki hayo madini!

Miislamu eti ikifa inakamuliwa mavi iingie peponi ikiwa misafi.

Faking disgusting
 
Gavana hupo hapo. Cheki hayo madini!

Miislamu eti ikifa inakamuliwa mavi iingie peponi ikiwa misafi.

Faking disgusting

Mikiristo kumbe imeolewa ina mume na mengine imeumbwa kuzibuliwa mitaro

1674757495104.png
 
Mungu alikataa kusingiziwa kwamba ana "wingi" kwamba wapo waungu "watatu" akasema "nipo mmoja tu na ndiye ninayepaswa kuabudiwa"tena akaenda mbali akatuma na mfalme sijui nabii kuielewesha dunia hivyo but Mungu huyo huyo akamwambia aliyemtuma kwa maandishi aliyoweka "wingi" ule ule alioukataa mwanzo.

Maneno kama tuli....tume...tuta logically nashindwa kuelewa kilimshinda nini Mungu kuyaweka maneno haya kwa umoja ikawa "nili...nime...nita"ili kuondoa mkanganyiko wa mwanzo ambao yeye mwenyewe aliukataa,inasemwa ni "royal we" ila bado kwanini Mungu kujificha ficha kwenye vyeo hali ya kuwa alishajua mwanzo watu walimpa vyeo asivyovitaka?

Nikifikiria haya chochote kinachoandikwa kuhusu huyu Mungu huwa nashindwa kukisoma nikijua kitakuwa na mapungufu yale yale.
Katumia wingi hali yuko peke yake ili kuonesha utukufu na ukubwa wake
 
Back
Top Bottom