niquetamere
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 532
- 1,008
Mambo mengine yanastaajabisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijichekeshe , kijana tumeshafunga mjadala wa kupakwa wanjaKwani huyo mume wako ulimpakia Wanja,? Usisahau na manukato , umeamua kumfuata wacha ubishi . Amekuita tulia, nenda ukampe haki yake😝😝😝
Watakupaka na mafuta. Endelea kucheka cheka tu
Mbona mume wenu kasha tamba kwenu sana hujui au?Watakupaka na mafuta. Endelea kucheka cheka tu
Mngezitunza bikra ili mkienda huko jamaa akajipasulie mwenyewe!Lakini sasa mnafokolewa huku duniani huku papa wenu akidai kufokolewa kwenu siyo hatia wala kosa![emoji848][emoji848][emoji848]Jifunze kujibu hoja
Allah anasema ukifika peponi anakunyoa nywele zote , atakupaka mafuta na kukupaka wanja mtoto wa kiume , nataka kujua kwa nini mwanaume upakwe wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
[emoji23][emoji23][emoji23]Mume wenu ana waita tulia Yeremia 3:14 SRUVRudini, enyi watoto wenye kuasi, asema BWANA; maana mimi ni mume wenu;
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tukana rukaruka , ndugu zako wameshahitimisha kwamba watanyolewa nywele zote mwili mzima na watapakwa wanja , wameshakiri humu mbele za watuMngezitunza bikra ili mkienda huko jamaa akajipasulie mwenyewe!Lakini sasa mnafokolewa huku duniani huku papa wenu akidai kufokolewa kwenu siyo hatia
Lakini wewe ni bibi harusi wa bwana,au unakataa?Tukana rukaruka , ndugu zako wameshahitimisha kwamba watanyolewa nywele zote mwili mzima na watapakwa wanja , wameshakiri humu mbele za watu
Gavana hupo hapo. Cheki hayo madini!Hii sentensi imenifanya nikuone bado huijui biblia au basi haupo makini..rahabu wa solomoni si rahabu wa kipindi cha joshua ni ni watu wawili tofauti.
Kosa pia umelifanya hapo ni hilohilo..
Haikuwezekana kuficha tendo la hila la mfalme, na kashfa ikazuka huko Yerusalemu. Nabii Nathani aliilaani waziwazi nyumba ya Daudi, akiilaani kwa mapigano ya jamaa. Kwa kuongezea, alitabiri kuwa mtoto aliyezaliwa na Bathsheba atakufa. Na ndivyo ilivyotokea. Ndipo Daudi akatubu mbele za Bwana, na Nathani akatangaza kuwa amesamehewa. Bathsheba mrembo alizaa mtoto wa pili wa kiume aliyeitwa Sulemani, au Shlomo, kutoka kwa neno "shalom", ambayo ni, amani.
Solomani alipatikana baada ya toba kubwa na ndio maana ya jina la suleimani ni amani na ndie mfalme ambaye alikula bata kubwa bila kuingia vitani hata mara moja kwenye historia ya watu wa israel.
Eti mtume mudy alikuwa anapakaga wanja na hina. Halafu anamnyonya ulimi mwanamme mwenzake Hussein in na kumlamba mdomo msikitini akiwa uchi.Lakini wewe ni bibi harusi wa bwana,au unakataa?
Mume wenu anawaitaEti mtume mudy alikuwa anapakaga wanja na hina. Halafu anamnyonya ulimi mwanamme mwenzake Hussein in na kumlamba mdomo msikitini akiwa uchi.
Unabisha?
Nabisha.Eti mtume mudy alikuwa anapakaga wanja na hina. Halafu anamnyonya ulimi mwanamme mwenzake Hussein in na kumlamba mdomo msikitini akiwa uchi.
Unabisha?
Katumia wingi hali yuko peke yake ili kuonesha utukufu na ukubwa wakeMungu alikataa kusingiziwa kwamba ana "wingi" kwamba wapo waungu "watatu" akasema "nipo mmoja tu na ndiye ninayepaswa kuabudiwa"tena akaenda mbali akatuma na mfalme sijui nabii kuielewesha dunia hivyo but Mungu huyo huyo akamwambia aliyemtuma kwa maandishi aliyoweka "wingi" ule ule alioukataa mwanzo.
Maneno kama tuli....tume...tuta logically nashindwa kuelewa kilimshinda nini Mungu kuyaweka maneno haya kwa umoja ikawa "nili...nime...nita"ili kuondoa mkanganyiko wa mwanzo ambao yeye mwenyewe aliukataa,inasemwa ni "royal we" ila bado kwanini Mungu kujificha ficha kwenye vyeo hali ya kuwa alishajua mwanzo watu walimpa vyeo asivyovitaka?
Nikifikiria haya chochote kinachoandikwa kuhusu huyu Mungu huwa nashindwa kukisoma nikijua kitakuwa na mapungufu yale yale.