Artist ambaye Wazungu wanam-rate kwamba ni namba moja kutoka Africa ni Black Coffee and he is a South African, hit song ambayo imevunja records kwa nchi za Wazungu kutoka Africa ni Jerusalema and it's a South African track.
Tokea enzi za kina Huma Sekela, Miriam Makeba South Africa haijawahi kuwa nyuma kimuziki globally.
Tatizo la South Africans kwa ile lifestyle yao huwa wanaridhika sana na soko la ndani na ukiona katoboa international wengi inakuwa ni opportunity imemfuata mlangoni, US ukiuliza best hip hop artist kutoka Africa watakutajia Nasty C who is a South African.
Hivyo basi pamoja na kwamba hawako aggressive sana lakini wapo, mfano hawatoi movies nyingi kama Wapopo lakini movies zao ndiyo hutoboa kimataifa(globally) kuliko za Wapopo.