jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Nchi yetu tajiri ina kila mali, kuacha utajiri nyumbani na kwenda kutumwa ni ujinga Tanzania kuna fursa nyingi ambazo Nigeria, Rwanda hawa ndiyo maana Raia wao wanakimbia nchi zao, Tanzania nchi nzuri sana wageni wakikanyaga hawataki kurudi makwao, Wazungu wanaiita Zanzibar ni paradise.Anakuja EBM kuwastua fursa za nje hata mjue greencard lottery ni nini mkapambane mchukue dola za USA na kurudisha nyumbani bado mnamkamata kama mwizi mnajidai mara ni jasusi, mnashindwa kuelewa volume ya diaspora huchangia sana mambo kama hayo, mmelala usingizi wa pono leo mnaona makongamano makubwa kigali mnatoa macho wakati wenzenu wana urai pacha na wako wengi huko duniani