HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ujamaa ni upumbavu sana husababisha kutowajibika sababu una uhakika fulani atakusaidiaBasi maendeleo tutazidi kuyaona kwa wenzetu tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujamaa ni upumbavu sana husababisha kutowajibika sababu una uhakika fulani atakusaidiaBasi maendeleo tutazidi kuyaona kwa wenzetu tu
Wanatumia Pidgin English ni tofauti na English ya kawaida. Pidgnin english ina mchanganyiko wa maneno mengi ya kilugha. Mimi binafsi huwa siwaelewi wanapoongea na nyimbo zao na native english speakers wengi hawaelewi nini wanachoongea.
Wanatumia Pidgin English ni tofauti na English ya kawaida. Pidgnin english ina mchanganyiko wa maneno mengi ya kilugha. Mimi binafsi huwa siwaelewi wanapoongea na nyimbo zao na native english speakers wengi hawaelewi nini wanachoongea.
Hicho hicho si haba,Kiinglish cha...take me back baby sio?[emoji23]
Walau kajitahidiCha kimakonde kile [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli,Wanatumia Pidgin English ni tofauti na English ya kawaida. Pidgnin english ina mchanganyiko wa maneno mengi ya kilugha. Mimi binafsi huwa siwaelewi wanapoongea na nyimbo zao na native english speakers wengi hawaelewi nini wanachoongea.
Na kumtoa hatuweziUjamaa unasingiziwa tu, adui yetu ni CCM
"Last Last"Huwa naangalia lylsck
Tusisahau pia Nigeria ndio nchi yenye watu wengi zaidi barani afrika ikiwa na population ya watu zaidi ya milioni 220 ambayo ni karibu mara nne ya idadi ya Watanzania. Kwahiyo sio ajabu kwamba wapo kila mahali.Kwa Africa ndio nchi inayoongoza kubet Hawa jamaa wapo mbele kwa kila kitu
Shayo 🤣Umeambulia nini hapo?
70% unaelewa kinaimbwa nini"Last Last"
E don cast, last last
Na everybody go chop breakfast
Shayo!
Yeah
Shayo!
Igbo!
You go bow for the result o
Nothing to discuss o
'Cause I dey win by default and without any doubt o
Omo me I be adult o
I no go fit take your
(I no go fit take your insult o)
Omo mind as you dey talk o
I put my life into my job
And I know I'm in trouble
She manipulate my love o hmm
I no holy and I no denge pose
Like baba frio, my eye o
Don cry o
I need igbo and shayo (Shayo)
I need igbo and shayo (Shayo)
I need igbo and shayo (Shayo)
I need igbo and shayo (Shayo)
Shayo (Shayo), shayo (Shayo)
I need igbo and shayo (Shayo)
I need igbo and shayo (Shayo)
I need igbo and shayo (Shayo)
Shayo (Shayo), shayo(Shayo, shayo)
I dey port-harcourt when dem kill soboma
I dey try to buy motor one toyota corolla
My feelings been dey swing like jangolover
Feelings been dey swing like jangolover
Now you crash your ferrari for lekki burna
Na small thing remain could have been all over
My feelings still dey swing like jangolover
Feelings still dey swing like
Ti n ba ni ke juru e juru
Omo why to'o ki nfe ni suru
Why you say I did nothing for you?
When I for do anything you want me to do
Ti n ba ni ke juru e juru
Omo why to'o ki nfe ni suru
Why you say I did nothing for you?
When I for do anything you want me to do
Maybe another time
Maybe another life you'll be my wife and we'll get it right
E don cast
Last last
Na everybody go chop breakfast
Have to say bye, bye o
Bye, bye o
To the love of my life
My eye o, don cry o
I need igbo and shayo (Shayo)
I need igbo and shayo (Shayo)
I need igbo and shayo (Shayo)
I need igbo and shayo (Shayo)
Shayo (Shayo), shayo (Shayo, shayo)
I need igbo and shayo (Shayo)
I need igbo and shayo (Shayo)
I need igbo and shayo (Shayo
Umeambulia nini hapo?
Ili wabongo waendelee kua mburula na rahisi kutawaliwa.Tuna Hashim Thabit jamani 🥹🥹
Unayosema ni kweli uraia pacha una faida kubwa sana sijui kwanin wanabana natumain kwenye katiba mpya wataweka
Hawa jamaa kwenye lugha ni ujanja ujanja tu english gani ile.Wanatumia Pidgin English ni tofauti na English ya kawaida. Pidgnin english ina mchanganyiko wa maneno mengi ya kilugha. Mimi binafsi huwa siwaelewi wanapoongea na nyimbo zao na native english speakers wengi hawaelewi nini wanachoongea.
Kwenye hizo hizo nyimbo unazoponda Zimemfanya diamond aitwe big brother kuperform, kuperform tuzo za mwanasoka wa Africa ile aliyochukua Mane, kuperform karibia nchi zote ukanda wa west Africa, kuwa dominated kwenye Tuzo ya BET pia kuperform kwenye platform ya Grammer wewe ujaelewa somo la mtoa mada Diamond mafanikio mengi aliyopata ni kwasababu ya juhudi binafsi ndio anachozungumzia kilichokosekana ni network ya nchi yake abroad ukilinganisha na nguvu waliyonayo Nigeria abroad sijui unachoponda ni niniKwa Hizi Nyimbo zao Za "Chitaki" labda wakatumbuize majukwaa ya Promosheni za Airtel huko Mbulu
Davido anaimbaga nini mkuu mpaka useme hivyo?Hivi vitu 4 ni vya muhimu sana:-
- Lugha
- Mpangilio wa shairi
- Ujumbe wa shairi
- Mdundo wa muziki
Konde ni ngumu kutoboa kwenye market ya nje kutokana na mentality yake na namna anajiendesha kwenye soko la mziki abda ungeniambia Rayvanny ambaye unaona juhudi zake za kufanya na wasanii wa nje ya nchiWalau kajitahidi
Na wameanzisha porn industry yao inaitwa the habib na the castrawTusisahau pia Nigeria ndio nchi yenye watu wengi zaidi barani afrika ikiwa na population ya watu zaidi ya milioni 220 ambayo ni karibu mara nne ya idadi ya Watanzania. Kwahiyo sio ajabu kwamba wapo kila mahali.
Labda kwenye sekta zingine lakini kwa wasanii hatuna, shoo zao utasikia sema
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,Mkuu nimecheka kwa sauti kunajirani hapa anaanika nguo kauliza nini shidaLabda kwenye sekta zingine lakini kwa wasanii hatuna, shoo zao utasikia sema yeeah