Dr Justice
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 797
- 855
Hakuna ukweli mwingine zaidi ya huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna miji mikubwa tu Burna Boy anajaza ukumbi mzima ni wazungu hakuna wa nigeria wala SA kama wapo ni wachache sana na anauza tiketi zote kabla ya tamasha.
Dhana ya kwamba wasanii wa nigeria wanafanakiwa kwenye shoo za kimataifa eti kwasababu wananigeria ni wengi huko nje ni dhana potofu na ni kichaka tu cha kukwepa uhalisia kuwa wasanii wa Tz wanaotamba nyumbani hawana identity zao kimataifa kwasababu hawako Original wanacopy kwa hao wanigeria na SA na ndiyo maana wanigeria na SA wanaongoza kuiwakilisha Africa kimataifa.
Mfano: kati ya Asake OG na Asake feki ni yupi kati ya wawili hawa atakayesikilizwa na kuaminika kimataifa zaidi ya mwenzake??
Technically uzi umegeuka wa Diamond. Kwa nini?
Sababu ni msanii mkubwa sana na hana mpinzani unapokuja uwakilishi.
Hakuna cha wanaijeria kwenye boardroom sijui kuamua nani apewe show nani asipewe,You missed the point, ili Burna boy ajaze huo uwanja hao promoters wanaompa hiyo show are more than likely kuwa ni wanigeria wenyewe au wanaangalia mtu gani ambaye tayari ana fanbase besides the locals. I believe unajua wanaija wapo kila kona.
Wanigeria wapo in the boardrooms. Wakati wa maoni ya nani aitwe kutumbuiza kwenye shows mbalimbali duniani wao ni part ya watoa maamuzi hence wanapeana mashavu. Ndo maana nimesema unashangaa vp mnigeria kutumbuiza kwenye NBA All-stars mchezo ambao tayari una watu wenye asili ya Nigeria kibao from players, makocha hadi presidents wa timu. Nikianza kuorodhesha execs wenye asili ya Nigeria kwenye kampuni mbalimbali kubwa duniani sitamaliza hapa.
Back to your point; Wakati bongo flava ina identity ilifika wapi? Au bongo flava ya 2000s nayo haikua na identity?
Unaujua mziki wa Uganda? Kuna nchi conservative kama Uganda when it comes to music? Nenda clubs za Uganda husikii mziki wa nje zaidi yao na wanaimba strictly mziki wao kwa identity yao, leo hii waganda wapo wapi? Wamefika wapi? Umewaona huko grammys (ambako dayamondi alipafomu online), BET (ambayo Rayvanny anayo), UEFA au World cup?
Wakongo na bolingo yao wapo wapi au nao hawana identity?
Mziki ni kama products zingine unakua exported na natives wenyewe sio lazima wote wawe exces hata wananchi wa kawaida wana mchango wao. The bigger your network, the bigger your success. Hamna mtu anfanya everything by themselves.
Hakuna cha wanaijeria kwenye boardroom sijui kuamua nani apewe show nani asipewe,
Haya ni mawazo ya mediocre yanayokwepa uhalisia kuwa wasanii wa Tz hawana mziki wa maana wenye kukubalika internationallykwasababu ni copy and paste musician na watanzania mmezoshwa kulishwa hayo matango pori.
Yani unataka kutuambia Rema/Wizkidi/Burnboy/Davido wanaenda kufanya Show O2 Arena na kuuza tiketi zote baada tu ya wanaijeria kushauri kwenye boardroom kuwa huyo ni msanii bora???
Yani wazungu ni wajinga kiasi hicho cha kushindwa kutazama kwenye Billboards na kuona ni nyimbo ya msanii gani wa africa inayotamba kwenye charts za dunia eti mpaka wanaijeria kuumpigia chapuo kwenye boardrooms????
Hell no. Acheni kutafuta justification za kivivu.
Nashangaa sana watu wanaposema eri vijana wa sasa ni wa hovyo....wakati ukweli ni kwamba baba zetu na mama zetu ndio wa hovyo.Naandika huu uzi baada ya kumsoma kamikaze kwenye uzi wake: Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, Nini tunajifunza!
If anything wasanii wabongo inabidi walalamikie ufinyu wa watanzania wengine nje ya nchi hususani in the boardrooms.
Nigerians wapo wengi ndani na nje ya nchi yao. Unaposikia msanii wa naija kajaza ukumbi nje unakuta zaidi ya watu humo ndani ni Nigerians wenyewe. Unategemea Dayamondi ajaze ukumbi vp nje? Nyie wabongo mpo wangapi? Nani wakulalamika hapo dayamondi au nyie?
Nigeria ina timu ya basketball ambayo players wake wote wamezaliwa na wanacheza USA. Unashangaa vp msanii wa Nigeria kutumbuiza all-star game? Nyie bongo mna players wangapi NBA? Nani atawashika mkono huko NBA? Hapo wakulalamikiwa ni dayamondi au nyie wabongo wengine?
Nigeria ina hadi timu ya Bobsleigh sport, probably hujawahi usikia. Ni mchezo wa kwenye ice ila Nigeria hamna ice kabisa kama bongo tu, unadhani wanajuaje kuucheza? Players wake wote wamezaliwa na wanaishi USA. Utashangaa vp msanii wa Nigeria kuitwa kwenye function ya bobsleigh?
Bado NFL. Watu wenye asili ya Nigeria ni wengi kuliko kawaida kwenye huu mchezo. In a yr or two kuna msanii wa NG atatumbuiza kwenye superbowl believe me you. Nyie mna wachezaji wangapi NFL?
Kanu, Okocha, Ihenacho, Obi Mikel, Victor Moses na sasa Osimhen wa Napoli wote ni Nigerians, nyie wachezaji wenu wangapi wamefika UCL? Timu yenu ya taifa lini imeenda World cup? Bado unashangaa wasanii wa Nigeria kuitwa kwenye stage ya UEFA?
Viongozi wa Nigeria wamewahi na bado wanashika nyadhifa mbalimbali duniani more than any other country in Africa. Wapo kwenye boardrooms za maamuzi, nyie mpo wapi? President wa Toronto Raptors Masai Ujiri ni mnigeira, Ime Udoka aliyekuwa kocha wa Boston Celtics ni mnigeria. Unadhani wakiambiwa walete mtumbuizaji watamleta Marioo au msanii wao?
Kama you're reading btn the lines utagundua uraia-pacha plays a big part as well. Wanigeria kibao wamezaliwa na kukulia nje including Burna boy mwenyewe aliyekulia UK, Davido kazaliwa US ila wanapeperusha bendera ya NG. Nyie mna uraia pacha?
If anything wasanii wetu wamefanya kazi yao, hawana deni kabisa. Dayamondi, Samatta na wasanii wengine walipofika ni juhudi zao binafsi and they can only do so much. Wanaenda kwa speed ambayo wabongo wengine hawana, we're letting them down. Samaki ndani ya aquarium hawezi kuwa mkubwa zaidi ya aquarium yenyewe.
Nipo around mazee.
Hebu tafuteni kichaka kingine cha kujificha ila sio eti kusingizia wanaijeria wapo wengi Abroad ndiyo maana mziki wao unatamba Abroad.Ambazo sio copy kwanini hazifiki? 2000s bongo flava ilikua copy ya wapi na ilifika wapi?
Hebu tafuteni kichaka kingine cha kujificha ila sio eti kusingizia wanaijeria wapo wengi Abroad ndiyo maana mziki wao unatamba Abroad.
Fanyeni assignments zenu vizuri watz mnapenda sana kutoa excuse za kuwafanya mjifiche kwenye comfort zone.
Mjiulize why Remmy Ongala/ Bi. kidule walikua wanapata show nyingi za Ulaya lakini Afande Sele yupo anafanya show kwa kiingilio cha bia huko uswekeni????
Nimeishia hapo iliposema eti kuwa Diamond ameperform kwenye Grammy 😂Show za Ulaya Kila mtu anapata hiyo sio ishu kabisa ila zina ukubwa gani. Hao wamepata show nyingi abroad kuliko dayamondi au rayvanny aliyeshinda BET na kupafomu MTV? Dayamondi kawania bet as well na kapafomu Grammy's. Bi. Kidude na Remy wameshinda nini? Wamepafomu wapi?
Vp mziki wa Uganda au Congo hauna identity? Umefika wapi? Naona unazunguka mbuyu bila majibu ya hili swali.
Kuna zaidi ya wanigeria laki5 USA pekee achilia mbali vizazi vyao, how can you underestimate their influence. Robo ya hao tu waki-stream mziki wao repeatedly tayari una top the charts. Hapo sijagusa idadi Yao UK let alone the whole of Europe. Hivi Mzungu atakua willing kwenda kwenye show ipi Kati ya mnigeria huku tayari ana jirani mnigeria na wanakutana hapa na pale au ya mbongo wakati hajawahi kabisa isikia nchi ya TZ? Understand the snowball effect.
Asake Og na Asake Feki [emoji1787][emoji1787][emoji119]
Haja compare lolote hapoUnacompare Nigeria na Tanzania kwenye suala la soka na mziki? Wametuacha mbali sana
Nahis mfumo unatubana.. exposure mpk uchumi. Na akili ndipo zinapo dumaaWatanzania hawapendi kusafiri
Nimeishia hapo iliposema eti kuwa Diamond ameperform kwenye Grammy 😂
Alafu tena unajiuliza eti Bi.Kidude na Remmy Ongala waliperform wapi? 😂😂😂
Una miaka mingapi chief??
Yani unauliza mziki wa Congo umefika wapi kwelii ?
Mstari wa kwanza tu unasema show za ulaya kila mtu anapata 😂
Huyo kwenye Avatar yako unaweza kutaja show zake 3 za Ulaya?
Hiyo dhana yenu kuwa wazungu ni bongolala hawajui mziki mzuri wa afrika mpaka wawe influenced na wanaijeria wanaoishi naijeria ni dhana potofu na kichaka kwa kukwepa majukumu ya kuwa wabunifu zaidi.
Tafuta sound yako be original utafanya la maana na utasikilizwa na kila race.
Hamkawii kusema hata Selina Gomez amefanya featuring na Rema kwasababu wanaijeria ni wengi duniani 😂
Nikasubiri anitajie Asake Feki ni nani[emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa wa_Naija hawafai. Actually Africa nzima hakuna wakuwafikia kwa ku_hustle. Wewe hushangai hadi Bongo wapo kutafuta fursa! Naamini hiyo iko ndani ya DNA yao.
Sisi tushindane tu na Waafrika wengine akina Kenya na wengine.
Eti had shoulders to stand on 😂Magnitude ya hizo shows that's the point. Ukitaka show za Ulaya unapata ila zina magnitude gani.
The burden of proof is on you to prove your case kwa jambo lolote unalolipinga sio Mimi.
Mziki wa Congo umefika wapi? Wameshinda Grammys ngapi? Wameimba UEFA, world cup au all-star? Mcongo gani kajaza O2 arena? Wacongo nao identity Yao imepotea maana siwasikii kabisa siku hizi.
Bi. Kidude na Remy Wana tuzo ngapi internationally? Walijaza stadiums nao kwa nyimbo zao za asili? Walipafomu wapi mega performances?
Remix ya Rema na Selema imefika pale sababu Rema had shoulders to stand on, wimbo ukawa mkubwa Selena akausikia au unadhani Selena alienda Google kusearch African sound ya wimbo wowote ule ili afanye remix tu for nothing 😅
Snowball effect is a foreign language to you my friend.
Eti had shoulders to stand on 😂
Ur 1st shoulder to stand on must be your own creativity & Identity. Sio hizi copy & paste zinazofanywa na icon wenu mkubwa wa nchi(diamond)mnayemtegemea awawakilishe na matokeo yake ndiyo huyo sasa mko naye wavuvi camp wakati wenzake wakiwa kwenye jukwaa la world cup wanafanya performance.